Washa vifaa vya umeme kwa SMS ya simu

Mimi ninataka kwaajili ya kucontrol security light na security cameras, electric fence and perimeter motion sensor.
 
Kuna options 2

1. Tunatuma mwakilishi mmoja aje uko
-hapa uta incurr transport fees

2.Tunatuma System Package kwa njia ya basi
-Hapa utaitaji uwe na fundi wako (awe FUNDI SANIFU wa umeme- awe na diploma)
hiyo ya kwanza is the best....thanks
 
****DHUMUNI LA MFUMO****

1. Kuwasha/ kuzima vifaa vya umeme mf: taa, a/c, friji , feni, kwa kutumia SMS ya simu yako.

2. Kuweza kupata feedback SMS baada ya taa kuwaka/kuzima.

3. Kuweza kupata listi ya vifaa gani vimewaka/zima kwa kutumia SMS.

4. Kuweza kuseti mda gani taa iwake au izime yenyewe automatically kwa kutumia SMS.

mfano: unaseti 19:00 taa iwake saa moja usiku, 06:00 izime saa 12 asubui, kila siku

5. Mfumo huu hutumia SMS tu , hautumii INTERNET.

6. Simu aina YOYOTE inaweza kufanya control mf: Nokia ya Tochi, Smartphone, n.k

7. Mfumo huu hutumia line ya simu ya mtandao wowote ULE kukamilisha adhma zima.

ie: utachagua mtandao ambao una Excellent Signal Quality kwa eneo uliopo.

8. Mfumo huu ni wa njia 8 utachagua vifaa vipi viungwe katika mfumo.

mathalani: njia1 = friji , njia2 = A/C , njia3 = feni , njia4 = taa za nje , njia5 = taa za sitting room , n.k , vyote vikiwa HAVITEGEMEANI

9. Mfumo huu pia hukuwezesha kutumia swichi zako za ukutani kama kawaida pale utakapoishiwa na SMS katika simu. (2 WAY CONTROL TO ENHANCE FLEXIBILITY)

10. Mtumiaji ana uwezo wa kuseti Security Preferences , namba zipi ziruhusiwe kufanya control ili kuzuia 'Hacking'.

**PRODUCT/SERVICE PRICING**

> Kwa nyumba ya kawaida ( isiyozidi mita 35 x mita 35 ) ni Tshs. **800,000/-** ( Complete package + Installation + Android App )

> Kwa nyumba iliyozidi kipimo tajwa hapo juu , maongezi yatafanyika kupata package maalum.

> Kwa pricing iyo (800,000/-) unaunganishiwa njia zote 8 pamoja na kupewa App special (kwa watumiaji wa Android watakaopenda)

> Hii App ni kwa watumiaji wa Smartphone , kama huna Smartphone utatumia mfumo wa kawaida wa kutuma SMS.

NOTE: > Ikumbukwe mfumo huu hutumia SMS tu na si INTERNET.

> Aina yoyote ya simu itatumika sio lazima SMARTPHONE.

> Huduma ya kuwasha na kuzima kwa SMS ni pahala popote/umbali wowote ule.

> Garantii ya mfumo mzima ni MIAKA 2.

Kwa Mawasiliano zaidi tafadhali

0625 598 055 Call and SMS

0712 163 248 WhatsApp

Automation Engineer

Tunapatikana Dar Es Salaam , Makumbusho

KARIBUNI

View attachment 515099 View attachment 515099

SAFI SANA
IDEA NI NZURI BUT VERY EXPENSIVE KULINGANA NA WATU ULIOWALENGA NA DHUMUNI HAPA NAONA MTEJA ANABANA MATUMIZI YA UMEME

NA USAWA HUU ATLEAST UNGEFANYA LAK2
 
SAFI SANA
IDEA NI NZURI BUT VERY EXPENSIVE KULINGANA NA WATU ULIOWALENGA NA DHUMUNI HAPA NAONA MTEJA ANABANA MATUMIZI YA UMEME

NA USAWA HUU ATLEAST UNGEFANYA LAK2
ni kweli unachokisema tupo katika mkakati wa kuleta package ya kati but ikumbukwe ni
Value For Pricing
 
je naweza kutumia kwa simu mbili mfano simu yangu na simu ya wife?na vipi simu ikipotea au kuibiwa inakuwaje hapo?
 
je naweza kutumia kwa simu mbili mfano simu yangu na simu ya wife?na vipi simu ikipotea au kuibiwa inakuwaje hapo?
Several members wanaweza kutumia by default ipo ivyo
ila kama unataka only authorized waweze access , kuna Setting preferences unaweka namba za watu watano(maximum)
kama utapoteza simu, utatumia swichi zako za ukutani, 2 way control to enhance flexibility
 
Hongera sana mkuu, naomba kujua hii project ni wazo lenu?!
Nimeipenda sana hii najua hata nikiwa sehemu mida ya wanga najua nyumbani pako salama
 
Hongera sana mkuu, naomba kujua hii project ni wazo lenu?!
Nimeipenda sana hii najua hata nikiwa sehemu mida ya wanga najua nyumbani pako salama
system iko renovated ukiachana na zilizopita ambazo zilikua crude, less rugged na cumbersome.

Hii iko flexible na versatile zaidi, kwa mfano uwashaji na uzimaji kwa kutumia Saa - Real Time Clocking System
Ni advancement iliyo changiwa na pande kuu mbili za fani za uhandisi umeme na computer

Tunaendeleza/tunakuza walipoishia.
 
Hongera sana mkuu. Natamani ATC na DIT waone huu uzi
 
Mbona vitu hivyo vimapatikana kirahisi kwenye mitandao - wanakuonyesha jinsi ya kuvifunga - bei zake ni rahisi kabisa!! Fanyeni vitu vya kuwasaidia Watanzania wenzenu na sio kupenda penda ku-rip off waswahili wenzenu kwa kuwa wako ignorant - mgekuwa mnavihunda nyinyi sawa lakini kila kitu kinatoka Uchina kwa bei ya kutupa kabisa - siwasemi vibaya ila mna justification gani ya kucharge watu laki nane?
 
Ahsante kwa maoni mkuu
Tutajitaidi kutengeneza package ya kati iwafikie watu wengi zaidi
 
Back
Top Bottom