mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 10,847
- 20,556
Waache mambo ya watch part two...movie haieleweki hata kidogo.. Ukianza kuielewa kidogo wanaandika watch part two..mbaya zaidi hiyo part two nayo inaanza nyuma km dk kumi hivi.kitu usjakiona.. Unakirudia tena.....ending of the movie ndy hakueleweki kabisaa...sasa mambo gani kulazimishana kuangalia movie za NYOKA MTU..mara KIMENUKA...yaani title of the movie ni balaa.... Ngoja uiangalie hyo movie... Uozo mtupu