Wasanii na Celebrities wa Kiume wa Bongo Badilikeni Kuweni Kama AliKiba

Sijawahi kuona msanii yeyote wa bongo fleva wa maana, nawaona wote sawa tu kwa sababu ni wasanii na waigizaji wa mambo ya nje. Inabidi serikali iwakamate hawa wote na kuwarudisha shule.
Hahah...mbona akina fa na niki wameenda shule?
 
Hawa tatzo lao ni elim na misifa? Ali k kasoma bwana, huwez kumkuta anafanya mambo ya hovyo kama malimbuken wengn. Wasanii wengine waliosoma na wanaojiheshm n AY, prof j, na wengn wachache sana
Kibabe...yeah kweli mkuu.
 
Uchambuzi mzuri sana mkuu,hongera ila kwa jinsi ulvyoelezea yeye ali k ni anaundergo positive changes sio za kishamba au kijinga kama wengne wanakoelekea ni kubaya zaid.
Yea ni kweli amebadilika positively.
 
b296880598fae7f4ec466d407db1de67.jpg

15 may 2017
http://www.jamiiforums.com/mobile-gallery/11741f51df6b7306e02b285964b91df9
14 may 2017
Sijui unamzungumzia Ali K wa mwaka gani sijajua bado mtoa mada acha ushamba.
Msanii.ni cha jamiii ndo hivi kweli.Hao ni wasanii kunyoa viduku suruali kuavaa zilizochanika eti anajieshimu thubutuuu but siyo kwa wasanii.[/QUOTE]
Sawa..ila andika vizuri,nimekuelew...but kiba anajitahid haweki mambo yake hadharan wala hafanyi kwa makusudi ili aonekane.
 
Hawa tatzo lao ni elim na misifa? Ali k kasoma bwana, huwez kumkuta anafanya mambo ya hovyo kama malimbuken wengn. Wasanii wengine waliosoma na wanaojiheshm n AY, prof j, na wengn wachache sana
Samahani bro alikiba ana elimu gani?

AY alipata zero form 4

Ashukuru Mungu alijiongeza ongeza nadhani ana shahada ya kwanza sasa hivi

Prof J ana elimu gani pia? Kama sikosei alivyomaliza kidato cha sita alipata "deiwaka" Tanga huko kwenye kampuni ya simu ya buzz ambayo ndiyo Tigo ya Siku hizi then akaingia kwenye muziki...........

Sikumbuki kama aliwahi kwenda chuo hapa katikati

Mwisho wa Siku haina maana kuwa na elimu ndio kustaarabika maishani

Kuna watu wana elimu kubwa na nzuri ila busara zao ziko chini mifano iko mingi na ya wazi

Cc Prof Ibrahim Haruna Lipumba
 
Hawa tatzo lao ni elim na misifa? Ali k kasoma bwana, huwez kumkuta anafanya mambo ya hovyo kama malimbuken wengn. Wasanii wengine waliosoma na wanaojiheshm n AY, prof j, na wengn wachache sana
Ana elimu gani mkuu ????
 
Ww ni fan wa Kiba na hapa unatengeneza kiki za bure. Hivi wasanii wengine wanaume wanavaa magauni, magunia, au vipedo? Kama ni visuruali vya kubana na vya matobo basi huyo msanii wako ndo zake. Nguo zipi hasa anavaa mpaka aonekane ni zaidi ya wengine!
Hatutoi kiki (In Shilole'z voice)
 
jamaa amebadilik san mamb mengi ya kuiga ameachana nayo,me napenda anavo vaa yani simple tu huwa namgeza some hrs mavazi
 
Back
Top Bottom