Wasafi TV haina hadhi ya kuitwa Media,Je,Wafanyakazi wake wana vigezo kuitwa wanahabari ?

Madumbikaya

JF-Expert Member
Jun 6, 2018
676
1,981
Ilitungwa kanuni na muda ulitolewa kuwa wafanyakazi wa kutoa habari kwa jamii inabidi wakasome shule ,Ni muda muafaka wa sheria za habari zikasimamiwa ipasavyo

Vyombo vya habari visitumike ku edit taarifa za watu na kuunganisha clip za hapa na pale kwa lengo la kupata followers

Wasafi media imejaa janja janja sana wamechukua comedian ndio wachambuzi wa baadhi ya vipindi kama magazeti

Nimeshangaa kuona chombo cha habari kimechukua jukumu la kupotosha uma na kuunganisha clip kwa kukata vipande vipande

Wasafi TV wamechukua taarifa ya homilia ya kadinali Rugambwa wa katoliki aliyoitoa Tabora kwa watu wa metropolitanti yake ya Tabora waka irekebisha na kuweka picha ya Askofu wa jimbo la lindi kwa kuandika kichwa cha habari kisemacho ASKOFU RUGAMBWA AMEKEMEA ASKOFU MWENZAKE ALIYETOA TAMKO

Haya mambo huwa yanafanywa na media za online uchwara ambazo wanaweza weka picha ya ajali mbaya ya kiongozi huku ndani habari kamili ikiwa ni tangazo la tamasha la muziki ,Lakini kwa Media kama wasafi kuna shida kubwa sehemu

Naambatanisha link hapa

View: https://youtu.be/h7jZ20YwUS8?si=KLI3O7sFktvBSYdX
 
Wacha tuone kama wewe ni mkweli mamlaka husika zitawachukulia hatua lakini kama nawe umeleta ushabiki na muhemko wa siasa nyote mtakuwa mnafanana tu...
 
Ilitungwa kanuni na muda ulitolewa kuwa wafanyakazi wa kutoa habari kwa jamii inabidi wakasome shule ,Ni muda muafaka wa sheria za habari zikasimamiwa ipasavyo

Vyombo vya habari visitumike ku edit taarifa za watu na kuunganisha clip za hapa na pale kwa lengo la kupata followers

Wasafi media imejaa janja janja sana wamechukua comedian ndio wachambuzi wa baadhi ya vipindi kama magazeti

Nimeshangaa kuona chombo cha habari kimechukua jukumu la kupotosha uma na kuunganisha clip kwa kukata vipande vipande

Wasafi TV wamechukua taarifa ya homilia ya kadinali Rugambwa wa katoliki aliyoitoa Tabora kwa watu wa metropolitanti yake ya Tabora waka irekebisha na kuweka picha ya Askofu wa jimbo la lindi kwa kuandika kichwa cha habari kisemacho ASKOFU RUGAMBWA AMEKEMEA ASKOFU MWENZAKE ALIYETOA TAMKO

Haya mambo huwa yanafanywa na media za online uchwara ambazo wanaweza weka picha ya ajali mbaya ya kiongozi huku ndani habari kamili ikiwa ni tangazo la tamasha la muziki ,Lakini kwa Media kama wasafi kuna shida kubwa sehemu

Naambatanisha link hapa

View: https://youtu.be/h7jZ20YwUS8?si=KLI3O7sFktvBSYdX

Ifungiwe. Haina maadili. Inafundisha ushoga. Wapo uchi na kurembua kama mabinti.
 
We ndiyo unasajili vyombo vya hbr? Tuliza matako
 
Media zpte zime jaaa makanjanja wakina Choko Maulid wa Kitenge.

Na kwanza sio Wasafi tu, kwani hizo media zingine wakina Clouds zina watu wa maana?

Media zimejaa wachambuzi wa mipira ya Yanga na Simba kutwa nzima unategemea nini?

Mimi ni me sabascribe media za nje zote na pia za Kenya, siwezi hata dakika moja kutumia muda wangu kufuatilia media za Kibongo.
 
Back
Top Bottom