Madumbikaya
JF-Expert Member
- Jun 6, 2018
- 676
- 1,981
Ilitungwa kanuni na muda ulitolewa kuwa wafanyakazi wa kutoa habari kwa jamii inabidi wakasome shule ,Ni muda muafaka wa sheria za habari zikasimamiwa ipasavyo
Vyombo vya habari visitumike ku edit taarifa za watu na kuunganisha clip za hapa na pale kwa lengo la kupata followers
Wasafi media imejaa janja janja sana wamechukua comedian ndio wachambuzi wa baadhi ya vipindi kama magazeti
Nimeshangaa kuona chombo cha habari kimechukua jukumu la kupotosha uma na kuunganisha clip kwa kukata vipande vipande
Wasafi TV wamechukua taarifa ya homilia ya kadinali Rugambwa wa katoliki aliyoitoa Tabora kwa watu wa metropolitanti yake ya Tabora waka irekebisha na kuweka picha ya Askofu wa jimbo la lindi kwa kuandika kichwa cha habari kisemacho ASKOFU RUGAMBWA AMEKEMEA ASKOFU MWENZAKE ALIYETOA TAMKO
Haya mambo huwa yanafanywa na media za online uchwara ambazo wanaweza weka picha ya ajali mbaya ya kiongozi huku ndani habari kamili ikiwa ni tangazo la tamasha la muziki ,Lakini kwa Media kama wasafi kuna shida kubwa sehemu
Naambatanisha link hapa
View: https://youtu.be/h7jZ20YwUS8?si=KLI3O7sFktvBSYdX