Wasafi Festival Sound system.

Labda unamasikio ya ki clouds ila nimeingia mtwara toka saa moja jioni ya leo.japo siko uwanjani ila sound mbona inasikika vizuri tu.
hajasema kuwa haisikiki, bali kasema kuwa sauti haiko vizuri (very poor sound) sio low sound
 
Maisha bila Unafiki hayaendii..

WCB...
IMG_20181125_121240.jpg
 
Mnaosema kweupe mnaangalia kwenye zile TV za black and white. Ila mziki ni tatizo la matamasha mengi, tz hatuna watu wazuri wa sound engineering.
kweli umeongea mzee baba sound engineering wetu bado sana aisee kweli ukitaka kujua angalia show aliyokuja future utaelewa
 
Wale wa South Africa walifunga mziki pale leaders wa viwango vya kimataifa.
yah ila bado haikua sawa sawa nilihudhuria lile tamasha bt alivyoingia future kidgo ila sound ilikua kiasi chake ila fiesta nimehudhuria toka 2011 sound bado ni changamoto
 
Back
Top Bottom