Wasaa mzuri kwa wadada mliobahatika kuolewa tu

Msingi Wa Mafanikio Na Ndoa Imara Ni Mwanamke, familia Inawezakuwa Na Mwanaume Wa Hovyo Lakini Mwanamke Akiwa Imara Familia Hiyo Itasonga Mbele Lakini Familia Ikiwa Na Mwanamke Wa Hovyo Hata Familia Pia Inakuwa Ya Hovyo Wala Haiwezi Kufika Popote.

Wanawake Ndio Wenye Usukani Wa Ndoa Mkiamua Kuendesha Kwa Umakini Lazima Gari La Familia Lifike Salama.Tumieni Nguvu Hii Mliyopewa Na Mungu Kujenga Familia Imara Zenye Mafanikio
Well said
 
Ni Kweli Unenacho Ila Mhimili Mkubwa Wa Familia Ni Mama Hata Kama Baba Ni Mlevi,mshenzi Lakini Mama Bado Atahakikisha Watoto Wake Anawalea Vyema
Ulevi huku nyumbani sifuri ndiyo mwanzo wa kuwa na mchepuko ukirudi unakuta msosi wa nguvu hata uulizi ndoa maana wengi wao wakistaafu mapema rest in peace wake wanabaki maana shida na taabu walisha zizoea
 
Back
Top Bottom