Warning: Picha za kutisha sana - mashambulizi ya South Afrika kwa foreigners sio jambo dogo

Jamani tujifunze kutulia makwetu.
hata tukikosa lakini nyumbani ni nyimbani.
hata kama hatuna maisha ya maana..
mateso gani hayo sasa
....

wasouth wanaonekana ni wabaguzi sana
 
kwakweli ,tulale na njaa makwetu
 
Jamani tujifunze kutulia makwetu.
hata tukikosa lakini nyumbani ni nyimbani.
hata kama hatuna maisha ya maana..
mateso gani hayo sasa
....

wasouth wanaonekana ni wabaguzi sana

The pasture will always look greener on the other side of the fence!

Wasouth hawana utu, hata wao kwa wao.
 
Kwan wamefukuzwa kwao....ukiona hutakiw kwa watu rudi kwenu...mbona simple tu
 
KWA TAARIFA YAKO TUKO SOUTH AFRICA TUNAKULA RAHA,MAISHA MAZUR ZAID YA TZ,USIDHANINI KILA ANAYEKUJA SOUTH AFRICA ANAKUJA KUUZA MIKATE,
POLE SANA DOGO......
TEMBEA UONE,,,LEO UKINIAMBIA NIJE TZ NIKAE SIWEZ,NCHI YA AJABU SANA,UJINGA MTUPU,MANENO MENGI WANASIASA WAMESHINDWA KUENDELEZA NCHI ,TEMBEA UONE KIJANA,USIDHANINI VIONGOZ WA TZ WANAPOKUJA NJE YA NCHI KUJIFUNZA USIWAONE WAJINGA,NA KWA UPUUZ WAMESHINDWA HATA KUKOPY,MANENO MENGI,POROJO NYINGI,NCHI YANGU TANZANIA NDO INA LAANA,KILA KITU KIPO ILA MAISHA YA WAZAWA NI SAWA NA YA JEHANAM,ASILIMIA NDOGO NDO WANAKULA NATIONAL CAKE,,

TEMBEA UJIONEE
UNAWEZA UKADHAN UNAISHI MAISHA MAZUR KUMBE UNAISHI JEHANAM
TEMBEA UJIONEE KIJANA....
 

POLE KWA TAARIFA YAKO SA NIMESHAFIKA NA ZAIDI YA HIYO NCHI YA DAMU LAKINI SIJAONA KAMA TANZANIA RAHA UNAYOIPATA HAPO UNAWEZA ITENGENEZA HAPAHAPA TZ KAA HUKO KWAKUWA MAISHA NI POPOTE ILA MIMI HUNIONI NG'OOO HATA KWA MBINDE NILIMWACHA HAPO MTOTO WA DADA YANGU LAKINI ALIRUDISHWA KWENYE BOX HATA HATAMBULIKI SITAKI KUSIKIA CHOCHOTE JUU YA SA.
 

Nionyeshe Mtanzania aliezamia South ambaye atatukubalia kwamba ana kibano sana cha maisha huko. Nyie wote huko mnadai mnakula sana raha mnapowasiliana na wenzenu huku bongo, lakini ukweli ni kwamba mnaishi kwa kupanga kwenye shacks za Wa-South Afrika, ambapo pamoja na umasikini wetu huku bongo hatuna nyumba mbaya kama shacks za Wa-South. Wengi wenu hata kuoga ni shida, na nguo tunazowakuta mmevaa sijui kama zinapata maji kutoka winter moja hadi summer!

In fact wengi mnaoshambuliwa ni wale mnaoishi kwenye hivi viji-settlement kwa kubangaiza sana, ndio maana mnaonekana kama wahuni fulani, kwa sababu ukweli ni kwamba mara nyingi mnadokoa dokoa. Watu walio na bidii ya kufanya kazi ni wamalawi na wazimbabwe tu, nyie watanzania hamna lolote mnapenda vitu rahisi rahisi na kubom watu.

Hebu niambie nikija Cape Town nitakuta watanzania wanaishi wapi, wanakunywa wine wakiwa Rondebosch? Constantia? Sana sana ni Philipi, Langa na Zimbabwe informal settlements.

Acha kutudanganya eti mnakula raha? Raha gani, kula pap na ma-runners yanayobakizwa na wengine kwenye vijihoteli mshenzi?
 
Wewe kunafikiri kila mtu anaishi kwenye mabanda
 
Wewe acha chuki
 
Nani asioga wewe una matatizo ya chuki.
 
Ila kwanini watu wakaa manchini mwao wakajenga nchi zao?Watu hawawataki nyie mnakomalia kwenda yanini?....waachieni nchi yao bwana...

Xenophobia ni ugonjwa,tayari wanao...turudini makwetu...yanini kung'ang'ania ugenini usipopendwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…