Dhambi ya ubaguzi hiyo...!Waafrica baada ya kufukuza wakoloni sasa wamegeukiana wao kwa wao.
kwakweli ,tulale na njaa makwetuWajinga ni wale wanaokwenda Afrika ya kusini wakiacha nchi ina kila kitu wanakimbilia kule kwenda kuuza bangi wache wafe na ujinga wao mtu mwenye akili timamu hawezi wekeza afrika ya kusini nchi iliyolaaniwa kwa umwagaji damu na wewe unajipeleka kule na mbaya zaidi washenzi wale tumemwaga damu yetu kuwasaidia wapate uhuru lakini shukrani yao ndiyo hiyo ujinga huwa wakati wa kwenda wakati wa kurudi ni akili yako Afrika ya kusini imenyenyesa sana watanzania lakini bdo mnapangana foleni kwenda huko hivi mna akili au mna matope wengi walipata fedha kule wameziacha kulekule na ni wachache sana wanaishi kwa amani na mafanikio yao kamwe SITAIACHA NCHI YANGU TANZANIA YENYE MEMA YOTE YA DUNIA NA KWENDA KWENYE NCHI ZENYE LAANA YA DAMU KAMA MSUMBIJI NA AFRIKA YA KUSINI MAELFU YA WATANZANIA WAMEFIA MSUMBIJI KWA KUUAWA NA MRENO WENGINE KWA SUMU ZA KWENYE MAJI MASKINI NDUGU ZETU LEO HII MSUMBIJI INAWATIMUA WATANZANIA BILA HURUMA WALA USTAARABU JAMANI WATANZANIA WENZANGU RUDINI KWETU HATA KAMA TUTALALA NA NJAA LAKINI TUPO SALAMA NA FAMILIA ZETU ACHENI KWENDA KWENYE VIZAZI VYA LAANA.
Jamani tujifunze kutulia makwetu.
hata tukikosa lakini nyumbani ni nyimbani.
hata kama hatuna maisha ya maana..
mateso gani hayo sasa....
wasouth wanaonekana ni wabaguzi sana
yani ni kama nnchi fulani ambayo wanakaa wahuni ...The pasture will always look greener on the other side of the fence!
Wasouth hawana utu, hata wao kwa wao.
Nashukuru Mungu anisamehe kwakuwa sijuwi nisemalo ila kwa wewe unayejua usemalo ulaniwe milele.Mwenyezi mungu akusamehe bure kwani hujui usemalo
haswaaa! Na ni kuanzia level ya raisi, machifu wao mpaka mlala hoi wa mtaani. Wote ni wahuni tu wasiolewa lolote. Fikiria hata wanapokuja nchi zetu wanasema eti nasafiri kwenda Afrika, kama vile wao hawako Afrika.yani ni kama nnchi fulani ambayo wanakaa wahuni ...
KWA TAARIFA YAKO TUKO SOUTH AFRICA TUNAKULA RAHA,MAISHA MAZUR ZAID YA TZ,USIDHANINI KILA ANAYEKUJA SOUTH AFRICA ANAKUJA KUUZA MIKATE,Wajinga ni wale wanaokwenda Afrika ya kusini wakiacha nchi ina kila kitu wanakimbilia kule kwenda kuuza bangi wache wafe na ujinga wao mtu mwenye akili timamu hawezi wekeza afrika ya kusini nchi iliyolaaniwa kwa umwagaji damu na wewe unajipeleka kule na mbaya zaidi washenzi wale tumemwaga damu yetu kuwasaidia wapate uhuru lakini shukrani yao ndiyo hiyo ujinga huwa wakati wa kwenda wakati wa kurudi ni akili yako Afrika ya kusini imenyenyesa sana watanzania lakini bdo mnapangana foleni kwenda huko hivi mna akili au mna matope wengi walipata fedha kule wameziacha kulekule na ni wachache sana wanaishi kwa amani na mafanikio yao kamwe SITAIACHA NCHI YANGU TANZANIA YENYE MEMA YOTE YA DUNIA NA KWENDA KWENYE NCHI ZENYE LAANA YA DAMU KAMA MSUMBIJI NA AFRIKA YA KUSINI MAELFU YA WATANZANIA WAMEFIA MSUMBIJI KWA KUUAWA NA MRENO WENGINE KWA SUMU ZA KWENYE MAJI MASKINI NDUGU ZETU LEO HII MSUMBIJI INAWATIMUA WATANZANIA BILA HURUMA WALA USTAARABU JAMANI WATANZANIA WENZANGU RUDINI KWETU HATA KAMA TUTALALA NA NJAA LAKINI TUPO SALAMA NA FAMILIA ZETU ACHENI KWENDA KWENYE VIZAZI VYA LAANA.
KWA TAARIFA YAKO TUKO SOUTH AFRICA TUNAKULA RAHA,MAISHA MAZUR ZAID YA TZ,USIDHANINI KILA ANAYEKUJA SOUTH AFRICA ANAKUJA KUUZA MIKATE,
POLE SANA DOGO......
TEMBEA UONE,,,LEO UKINIAMBIA NIJE TZ NIKAE SIWEZ,NCHI YA AJABU SANA,UJINGA MTUPU,MANENO MENGI WANASIASA WAMESHINDWA KUENDELEZA NCHI ,TEMBEA UONE KIJANA,USIDHANINI VIONGOZ WA TZ WANAPOKUJA NJE YA NCHI KUJIFUNZA USIWAONE WAJINGA,NA KWA UPUUZ WAMESHINDWA HATA KUKOPY,MANENO MENGI,POROJO NYINGI,NCHI YANGU TANZANIA NDO INA LAANA,KILA KITU KIPO ILA MAISHA YA WAZAWA NI SAWA NA YA JEHANAM,ASILIMIA NDOGO NDO WANAKULA NATIONAL CAKE,,
TEMBEA UJIONEE
UNAWEZA UKADHAN UNAISHI MAISHA MAZUR KUMBE UNAISHI JEHANAM
TEMBEA UJIONEE KIJANA....
Ni halali kabisa ss kuitwa nyani tena ni afadhari hata nyaniWaafrica baada ya kufukuza wakoloni sasa wamegeukiana wao kwa wao.
KWA TAARIFA YAKO TUKO SOUTH AFRICA TUNAKULA RAHA,MAISHA MAZUR ZAID YA TZ,USIDHANINI KILA ANAYEKUJA SOUTH AFRICA ANAKUJA KUUZA MIKATE,
POLE SANA DOGO......
TEMBEA UONE,,,LEO UKINIAMBIA NIJE TZ NIKAE SIWEZ,NCHI YA AJABU SANA,UJINGA MTUPU,MANENO MENGI WANASIASA WAMESHINDWA KUENDELEZA NCHI ,TEMBEA UONE KIJANA,USIDHANINI VIONGOZ WA TZ WANAPOKUJA NJE YA NCHI KUJIFUNZA USIWAONE WAJINGA,NA KWA UPUUZ WAMESHINDWA HATA KUKOPY,MANENO MENGI,POROJO NYINGI,NCHI YANGU TANZANIA NDO INA LAANA,KILA KITU KIPO ILA MAISHA YA WAZAWA NI SAWA NA YA JEHANAM,ASILIMIA NDOGO NDO WANAKULA NATIONAL CAKE,,
TEMBEA UJIONEE
UNAWEZA UKADHAN UNAISHI MAISHA MAZUR KUMBE UNAISHI JEHANAM
TEMBEA UJIONEE KIJANA....
Wewe kunafikiri kila mtu anaishi kwenye mabandaZipo za mwaka jana, mwaka juzi, mwaka huu, lakini suala hapa ni kwamba haya mashambulizi yameanza tena na ni hatari kama mwaka juzi, na mwaka jana na miaka mingi iliyopita. Acheni kuficha vichwa vyenu ndani ya mchanga kama mbuni ondokeni South Afrika kwenye nchi ya watu hawawataki, kwa nini hamtaki kusikia? Mnajifanya mko bondeni mmeula kumbe mnasota mnalala kwenye shacks na maisha yasiyo na mbele wala nyuma hata kuoga ni shida kwa sababu shacks mnazopangishwa hazina hata mabafu.
Wewe acha chukiNI ajabu kuona kuna Watazania humu wanapinga kuwapo kwa hii thread. Najiuliza ni kwa nini, hasa ukizingatia kwamba mashambulizi yameanza tena hadi Nigeria wanataka lipelekwe jeshi la AU huko.
Napata picha kwamba wengi wenu mliozamia South mnaogopa tukiipigia kelele serikali italazimishwa mrudishwe nyumbani, na kwamba hamtaki ndugu znu huku wajue hatari mnazokabili huko bondeni mlikozamia.
Nani asioga wewe una matatizo ya chuki.Rudini nyumbani achaneni na maisha ya kwenye shacks za Wasouth Afrika. Hamna atakaewacheka kwamba mlienda bondeni na maisha hayakuwaendea sawa kama mlivyotarajia. Asilimia 80% ya mliozamia South mnagongwa na maisha hadi kuoga hamuogi mnanuka ndio maana mara nyingine mnauwawa kama vibaka.
Aisee. Wanasahau kabisa wapi walikotokaWaafrica baada ya kufukuza wakoloni sasa wamegeukiana wao kwa wao.