Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,690
- 3,399
Lowassa ni mnafiki, tena mnafiki wa hali ya juu. Kwa miaka takriban nane (wakati wa bunge la Makinda) Lowassa alikuwa mwenyekiti wa kamati inayohusika na mambo ya nje pamoja na usalama. Wizara ya Mambo ya nje pamoja na polisi walikuwa chini ya Kamati hiyo ambayo alikuwa mwenyekiti. Kipindi hicho CHADEMA walipigwa virungu, mabomu na kila aina ya mauzauza. Hakuna siku hata moja Mwenyekiti wa kamati Lowassa alitamka neno! hakuna! Hakuona umuhimu hata wa kuuliza bungeni au kumuita waziri wa mambo ya ndani kujua ni kwanini polisi wanawapiga virungu CHADEMA au kwanini walikuwa wanazuia baadhi ya mikutano yao.
Leo hii anapata wapi ujasiri wa kuhoji utendaji wa IGP?
Wewe binafsi hivyo virungu walivyokuwa wanapigwa CHADEMA una maoni gani?