Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,619
Thank God! Baada ya masaa 9 na dak 23 nimefanikiwa kufika. Mwenyeji wangu nami nikefurahi sana kuonana baada kuachana miaka 17 ilopita. Mke na mtoto (Prince) wapo salama. Mkewe ni mzungu na wanaishi na wazazi. Safari ilikuandefu na risk mingi. Nimepumzika mara 5 kupata kahawa Kali. Nimesikiliza mahubiri, gospels, reggae na slows nyingi. Picha nitawapa baadaye niko hoi wacha nilale wenyeji wamenipa chumba
Mbarikiwe wote!
Hukuifikiria tena Zenji? Au roho wa bwana amekugomea (kapiga kunji)!!!!!!!!!!!