LGE2024 Wapinzani wasisherekee rough za uchaguzi ndani ya ccm hilo ni jalamba la kuja kwao! Ikiwa yanaupata mbichi vipi mkavu?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,903
2,884
You guys are still missing the point. Upinzani haupo CHADEMA tena wala ACT.

Kama kuna watu wa kuwa nao makini kwenye utawala wenu basi ni Wananchi wenyewe. Huku mtaani watu wamechoka, wamekata tamaa. Hawaamini tena kwenye mabadiliko kupitia sanduku la kura.

Endeleeni kusumbuana na kina Mbowe kuna siku mtagundua mmechelewa sana.
 
Inavoonekana ccm wana utaalamu wa hali ya juu sana katika kucheza rough za uchaguzi.

Na dalili za wazi tunaziona kwenye chaguzi za kura za maoni ndani ya chama, na kama haufikiri kwa kina unaweza kudhani zile ni rough ndani ya ccm, lakini ukweli ni kwamba lile ni tangazo la wazi kwa upinzani kwamba sisi samba tunaluweza kwa hiyo tukishatoana ngeu huku kwetu twaja huko.
Na nyie ccm bana mnajiona ni chama cha kujadiliwa sana! Nani ana muda wa kujadili habari ya chama cha wazee? Acheni kujipa umuhimu msiokuwa nao. Kimsingi wananchi wameshapuuza huo ujinga uitwao uchagizi, sasa sijui wapi unaona ccm ni habari sana.
 
Kwa maoni yako mimi ni ccm!?
 
Na nyie ccm bana mnajiona ni chama cha kujadiliwa sana! Nani ana muda wa kujadili habari ya chama cha wazee? Acheni kujipa umuhimu msiokuwa nao. Kimsingi wananchi wameshapuuza huo ujinga uitwao uchagizi, sasa sijui wapi unaona ccm ni habari sana.
Kifupi ni kwamba upinzani wenyewe wanajua kuwa wanasindikiza na ni wasindikizaji
 
Kifupi ni kwamba upinzani wenyewe wanajua kuwa wanasindikiza na ni wasindikizaji
Kwa mfumo huu wa uchaguzi, ni mtu mjinga sana anaweza kuengelea suala la ushindani. Yaani hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.
 
Ila jamani Tanzania kuwa bado tunatawaliwa na CCM ni aibuu kubwa saana.hakuna wanaume kwenye hii nchii??
 
Inavoonekana CCM wana utaalamu wa hali ya juu sana katika kucheza rough za uchaguzi.

Na dalili za wazi tunaziona kwenye chaguzi za kura za maoni ndani ya chama, na kama haufikiri kwa kina unaweza kudhani zile ni rough ndani ya CCM, lakini ukweli ni kwamba lile ni tangazo la wazi kwa upinzani kwamba sisi samba tunaluweza kwa hiyo tukishatoana ngeu huku kwetu twaja huko.

Soma Pia: Kigamboni: CCM wararuana wenyewe kwa wenyewe. Vurugu zapamba moto kwenye Uchaguzi wa ndani ya chama
Acha inyeshe tufahamu panapo vuja,kwani kila mara wanajificha kuwa wadhindani wao wabakakamika bure.Sasa iweje waibiane wao kwa wao?
 
Back
Top Bottom