Tatizo kuna kuelewa na kutojielewa, mimi binafsi kwa maono yangu nimesoma uzi wako,
Na kuthibitisha jambo moja umeonyesha udhaifu wa serikali yaani uvunjwaji wa baraza la mawaziri, hili alimaanishi ubora wake bali mapungufu ndani ya wizara na kukosa mwelekeo kiserikali nini chakufanya, ikiwa watendaji wako wakuu mawaziri, wameshindwa kufikia matarajio.
Halafu kibaya zaidi, unawarushia madongo wapinzani kwa weakness yako menyewe.
Kwa hilo ndio nimekugusia unaiaibisha serikali, hebu rudia maneno yako na maoni ya wengi humu, wanakuthibitishia hilo Mkuu.
Samahani kama nimekukwaza, haya ni maoni yangu si ujuaji Stroke.
yaani wew jina lako na avata huwa nikilinganisha unayoandika ni kama vinasadifu yaliyoko kichwani mwako.
ok nikupe jibu ni kwamba wapinzani wsnaongeza ushawishi wao kwa raia ukitka kuona faida angalia bunge la kikwete alivunja na kubadili baraza la mawzir mara ngapi? kwa shinikizo lao kwamba limepwaya?
la kwanza ilikuwa richmond baada wspinzani kukomaa na ikaondoka na lowasa na mengine yaliyofuata.
Faida kubwa ambayo wew huoni ni hii awamu ccm kuzuia bunge lisionyeshwe ili balaa kama ile ya awamu ya kikwete isijirudie maana kura ambayo upinzani walipata mwaka juzi ni mara tatu ya 2010.
mwisho mkakataza wapinzani kutofanya siasa ili watanzania wasiambiwe ujinga unaofanywa na seriksli hii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.