Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 6,418
- 6,997
Kabla ya kuingia madarakani Hayati Magufuli walikuwa wanataka kiongozi mkali atayepinga ufisadi na kupambana na wala rushwa. Atakayekemea wanaotumia vibaya madaraka na wazembe.
Bahati mbaya Hayati Magufuli amefariki na sasa ameingia Rais Samia kuwa Rais wa JMT sasa wanashangilia na kufurahi. Kwa nini wanafurahia?
Wanajua huyu mama ni mpole, sio mkali kama Hayati Magufuli?
Kwa ufupi wapinzani wa Tanzania hawana msimamo na wapo kimasirahi zaidi.