Mtafiti77
JF-Expert Member
- Oct 31, 2011
- 1,875
- 2,314
Ndugu, kama unafahamu mahali wanauza suaruali aina ya chino/cadets za ukweli hapa Dar nitajie hapa tafadhali. Yaweza kuwa mtumba ama dukani. Mradi tu ziwe za ukweli, siyo midosho.
Jana nimepita maduka ya Mlimani city, hakuna kitu cha maana.
Ninaomba kufahamishwa wandugu
Jana nimepita maduka ya Mlimani city, hakuna kitu cha maana.
Ninaomba kufahamishwa wandugu