Wapi naweza pata Fonts za bure kwa ajili ya illustrator?

music mimi

JF-Expert Member
Jun 16, 2013
485
876
Natafuta mtandao naoweza download font za bure.

Nahitaji sana font ya eurostile extended, gill sans std na chica gogo nf bold.
 
Unamaanisha unataka ku pirate fonts?

Eurostile ni bure

Gill ni bure

Chica ya kulipia
 
asante kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…