Wapi naweza napata original boot za Salomon?

Habari wakuu, ni wapi Tanzania hii naweza kupata viatu / boots za Salomon original, kuna vya mtumba madukani, ni original kabisa lakini shida vinakuwa vimechakaa. Nataka kiatu kipya.
 

Attachments

  • Screenshot_20240905-114133_Chrome.jpg
    Screenshot_20240905-114133_Chrome.jpg
    210.2 KB · Views: 13
Back
Top Bottom