tokenring
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 314
- 595
Ukitaka ya kwa mtu haina masharti yote hayo ni pm. Naziuza za kwangu nna ya Tigo na VodaHabari wapendwa;
Kwa yeyote anaefahamu namna gani naweza kupata Line za uwakala za Tigopesa/Mpesa(process)
-Namna ya kufatilia
-Garama za kununua
-zinapatikana wapi
Naomba anifahamishe
(sio za watu wanaoziuza mitaani lakini, nataka OG kusajili kwa Majina ya muhusika)
Ahsanteni