Wapi naweza kupata kitabu cha historia ya Wahaya?

Niccolo Machiavelli

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
1,881
3,644
Ba Kyoma mulimu?.....Nina shida jamani ...nahitaji mtu anaeweza kunielekeza wapi naeza kupata kitabu cha historia ya Wahaya.....ingekua vizuri kama kimeandikwa kwa kiingereza. Kasinge.
 
Pale Bukoba Lutheran Bookshop mwone bwana stanle atakusaidia kopi ya kitabu cha HISTORIA YA WILAYA BUKOBA CHA HANS CORY.
2. Kuna kitabu Historia ya Abakama ba Kiziba na Amakuru gamwo cha Francis Rwamugila, 1945 hiki kipo kitengo cha east africana makitaba ya UDSM
3. customary laws of haya tribe, Hans Cory, 1945, Re 1972, Makitaba ya bukoba, hata udsm
4. Making and unmaking of Karagwe Kingdom, Israel Katoke (prof) (makitaba ya udsm, kitengo cha east africana)
5. Kiziba Kingdom, cha prof. Abel Ishumi ingawa Makitaba udsm hakipo, hakipatikani
6. eisherera na ishwera lya abahaya, Cha Omwami Mwombeki kipo (kitengo cha east africana maktaba ya Udsm )

navingine vingi,
 
Shukrani
 
Ashindwe yeye sasa mleta uzi huu.
 
Nenda maktaba ya UDSM utasaidiwa. Vipo vingi tu kikiwemo cha "Wahaya na Koo zao" ila kimeandikwa kwa Kihaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…