Wapi kuna matokeo mazuri baada ya kuboost/kufanya sponsor post ya biashara kati ya facebook na instagram

Hey naomba kuuliza wapi kuna matokeo positive baada ya kuboost post ya bidhaa yako??

Kwenye wateja namaaanisha

Na je naweza kuweka pesa kiasi gani ili niweze kupata matokeo MAZURI ?

Instgram ndio sehemu nzuri ya kutanganza,ila uwe mbunifu ,watu wanasponsor hadi 1m kwa mwezi,hela ikiwa kubwa na wanaona tanganzo lako wanakuwa wengi
 
Facebook mnaishukulia poa sana linapokuja swala la biashara.. ukiwa na jicho la tatu Fb ndio pa kupiga pesa
 
Facebook sponsor ads🔥🔥🔥.
Instagram🔥🔥
Ila uta acchieve sana Facebook.
Na wafanyabiashara wengi wanapita Facebook
 
Back
Top Bottom