Wapi Dar es Salaam naweza kukodi Trecta

rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
16,359
22,509
Nahitaji kukodisha trekta kwa ajili ya kusafiaha shamba maeneo ya Tuangoma.

Wapi naweza kupata trakta la kukodi hapa Dar es salaam.
 
Tuangoma ni karibu na Kongowe, Vikindu, na Kisemvule. Haya maeneo haswa Kongowe (Njia panda ya Tuangoma-Mkuranga) huwezi kukosa hata connection ya namna ya kupata.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom