Wapi alipo Kamanda Tundu Lissu? Au ilikuwa mzuka wa TLS?

Huyu Kamanda alitusaidia sana kuiwajibisha Serikali yetu. Alitusaidia kuibua ajenda za kuipiga CCM kwenye mitandao ya kijamii. Alikuwa ni Jeshi la Mtu mmoja ambaye alijitolea kupambana na Serikali ili kunusuru chama chetu CHADEMA. Nilimuamini na nikajua tumepata mgomba Urais sahihi wa 2020.

Hata hivyo, ikiwa imepita mwezi mmoja baada ya uchaguzi wa TLS na baada ya kuanza kwa Bunge la Bajeti, makeke ya huyu Mwanasheria wetu ambaye ni Rais wa TLS yamepotea. Sijajua amepatwa na nini. Sijasikia pia akitoa tamko lolote kwa niaba ya Wana TLS kulaani tukio la kuuawa askari polisi 8 ambao ni wadau muhimu katika majukumu yao ya kila siku.

Ukimya wa Tundu Lissu hauleti afya njema kwa uhai wa chama chetu. Yeye ndiye mtu pekee aliyebaki wa kukipaisha chama chetu. Ukimya wake maana yake ni kwamba na yeye amezidiwa na utendaji wa Rais Magufuli na Serikali yake. Kama hajazidiwa basi ni vema ajitokeze na kutoa kauli zitakazotusaidia kuanzisha mijadala kwenye mitandao ya kijamii ili na sisi tuonekane tupo hai.

Hahahaha Kada wa Chama Cha Mauaji naona TL anakutoa kamasi.Pole sana.
 
Kondoo sikuzote hawezi kuwa Mbuzi
Naona Kaanza kupoa kidogo kidogo
itakuwa kuna kakitisho kutoka kwa mwenye kiti chake,
Kaona huyu ananyemelea Kiti
Hahaha
Hata zile Mbwembwe za humu unaziona

Vitisho vipi??Vya Kolomije au Chato??Hahahahahaha naona TL kiboko ya Lumumba.
 
Fuatilia jinsi mnavyokalishwa na North korea ya huku tuachie wala vumbi nyambaf wewe
USA baby

20170417_134744.jpg
 
Huyu Kamanda alitusaidia sana kuiwajibisha Serikali yetu. Alitusaidia kuibua ajenda za kuipiga CCM kwenye mitandao ya kijamii. Alikuwa ni Jeshi la Mtu mmoja ambaye alijitolea kupambana na Serikali ili kunusuru chama chetu CHADEMA. Nilimuamini na nikajua tumepata mgomba Urais sahihi wa 2020.

Hata hivyo, ikiwa imepita mwezi mmoja baada ya uchaguzi wa TLS na baada ya kuanza kwa Bunge la Bajeti, makeke ya huyu Mwanasheria wetu ambaye ni Rais wa TLS yamepotea. Sijajua amepatwa na nini. Sijasikia pia akitoa tamko lolote kwa niaba ya Wana TLS kulaani tukio la kuuawa askari polisi 8 ambao ni wadau muhimu katika majukumu yao ya kila siku.

Ukimya wa Tundu Lissu hauleti afya njema kwa uhai wa chama chetu. Yeye ndiye mtu pekee aliyebaki wa kukipaisha chama chetu. Ukimya wake maana yake ni kwamba na yeye amezidiwa na utendaji wa Rais Magufuli na Serikali yake. Kama hajazidiwa basi ni vema ajitokeze na kutoa kauli zitakazotusaidia kuanzisha mijadala kwenye mitandao ya kijamii ili na sisi tuonekane tupo hai.
Yuko bungeni anahangaika.na wabunge wagonga meza wa CCM
 
Sie wengine tuliwaambia humu kuwa hicho ki TLS ni kichama kidogo mno ambacho kilipewa kiki na Magufuli pamoja na Mwakyembe wake.

Ni kichama kidogo ambacho hakina ushawishi wowote ule wa maana.

Ni kichama kidogo ambacho, zaidi ya kutoa vitamko vya hapa na pale, hakiwezi kufanya kingine chochote kile kilicho cha maana.

Hakitungi sheria, hakitekelezi sheria, hakina nguvu ya veto na kadhalika.

Tuliwaambia humu kuwa Tundu Lissu ghafla hatobadilika kisa tu eti ni rais wa hicho kichama.

Tuliwaambia atabaki kuwa yuleyule tu wa siku zote hivyo, hata awe rais wa hicho kichama au asiwe, hakutakuwa na tofauti yoyote ile.

Tuliwaambia yote hayo lakini kwa vile wengine mlikuwa mmelewa uvyama, hamkusikia!

TLS ni kichama kidogo mno ambacho hakiwezi kuleta tofauti yoyote ile iliyo ya maana zaidi ya kupiga vijikelele kama chura!!
Yaani nyie mnataka mtu awe anaongea kila siku mkuu. Yupo busy Kipindi hiki na family yake
 
Laiti ungekuwa unajua historia ya TLS na nchi hii usingeongea hayo wewe jamaa kumbe unaendeshwa kwa ushabiki sana?
Hakuna cha kujua historia wala fizikia hapa.

Watu tunazungumzia uhalisia wa mambo na si nadharia za kufikirika.

Hako ni kachama kadogo sana kasiko na ushawishi wowote ule ulio wa maana katika uendeshaji wa nchi.
 
Mchango wa TLS kwenye nchi hii ni mkubwa sana siyo tu kwenye utungaji wa sheria bali katika maendeleo ya katiba. Kujua hili haihitaji uwe mwanasheria hata kijana wa form five anayejua history atajibu ila kukusaidia fanya utafiti utajua TLS ina mchango gani, haijulikani kwa sababu hapa karibuni ilipoteana
 
Nigga pliiiz....
 
Back
Top Bottom