Wapenzi na Washiriki wa Marathons

0c25ac429d4ed39b702887ed8a255322.jpg
Mkuu hizi medali inabidi kuzitenengezea special mirror container , ya kuzihifadhi kwa muda mrefu til old age, at least grand children can be inspired , lol!
 
Umenipa wazo zuri sana mkuu VUZOMUNDO.
Ngoja nije nifanyie hivyo pamoja na vipicha vile vya siku ya marathon ili wanangu wajue baba yao naye alikuwa mwanamichezo.
 
wakuu nawashukuru wote kwa kuchangia uzi huu.. nashukuru nilishiriki 21 kms kwa 2 hrs 20 mins.. naomba tuendelee kufanya mazoezi kwa bidii.. wataalam wanashauri kwa mtu wa kawaida akiwa fit aiweze marathon walau kwa 1 hour 40 mins...
watakao weza around july kuna Bagamoyo marathon. tushiriki tena kwa pamoja hasa kwa watu wa dar kwakua ni karibu sana...

tuendelee kushirikishana na kupeana ujuzi na maarifa ya kufaulu zaidi.

thanks to you all
 
Mimi nashukuru nilimaliza kwa 1hr 45minutes
 
Back
Top Bottom