Wapambe na Mashabiki wa Makanikia Mnaharibu Mambo!!!

Mpaka sasa hii ripoti imekuwa kama siri ya serikali. Hata muhusika mkuu ameiomba hajapewa unadhani ndiyo itawekwa hadharani ili muikosoe, never! ... not to that extend
Bora waifiche tu, maana aibu itakuwa kubwa sana
 
Jibu ni rahisi tu mkuu, inawezekana kweli tunaibiwa, lakini tatizo linabaki pale pale, njia zilizotumika kumkamata huyo mwizi ndio shida inapoanzia.

ACACIA wameikataa tume pamoja na ripoti yake, maana haina uhalali kisheria. Na hata majaliwa ameshalitambua hilo ndio maana akatoa ile kauli ya kuwa wao (Serikali) walitaka kujiridhisha tu. Wameshajua kuwa walikurupuka.

Mwizi hata akamatwe na kizibitisho huwa akibali kama kaiba. Labda unataka kukataa hapa jukwaani. Ila nijuavyo mwizi huwa hakubali. Hakuna njia elekezi za kumkamata mwizi. Mwizi hukamatwa kwa njia vagara vururu. Sisi tumetumia vagara. Tusipangiwe kumkamata mwizi. Kuikataa tume ni sawa na sisi tulivokataa taarifa yao na haina uhalali kisheria. Kwani ripoti ya SGS huwa tunaisaini kwa mwanasheria ndipo mzigo unasafirishwa?! Acha zako
 
Tuweke record sawa kwanini kwenye hili la makanikia great thinkers wanapigia kelele kuwa hatua ambazo serikali imechukua si sahihi...

· moja usilikabili jambo (complex) kama hili la makanikia tayari ukiwa na nia ya hitimisho/jibu unalolitaka wewe ...

· tatu kushupalia vitu na mambo yasiyo na msingi na kusahau mlolongo mzima unataka nini? Ego mara nyingi ina madhara makubwa sana.

...ripoti ya Prof. Mruma ni “Bashite”. ...

Umejitahidi kurejea "textbook information/material on analytical tools" ili ujitambulishe kuwa ni msomi kumbe uneshindwa kueleza na jinsi gani zinapaswa kutumika katika suala la makanikia.

Kwa kutumia jina laBashite umejipambanua mlengo wako na hivyo kupoteza radha ya kusudio la bandiko lako. Kwani Bashite ni nani! Hadi sasa hujajitambua! Unajinajisi.

Watu mbumbu kama wewe hurukia mambo bila kutafakari kwa kina. Nimekwisha andika humu kwamba huwezi kudai umeibiwa au unaibiwa bila kuwa na ushahidi wizi umefanyika au unataka kufanyika. Huo ndio msingi wa utafiti na uchambuzi wa aina yoyote - Stating the Problem.

Wewe na wengine (calling yourseleves great thinkers) mnasema tatizo ni mikataba kutokana na Sheria mbovu. Lakini mnasahau kuwa Sheria au Mikataba hiyo inahusu rasmali ya nchi, ni ina thamani kubwa.

Kama wewe ni "great thinker" nakuachia hilo ukijiuliza.
 
Mpaka sasa hii ripoti imekuwa kama siri ya serikali. Hata muhusika mkuu ameiomba hajapewa unadhani ndiyo itawekwa hadharani ili muikosoe, never! ... not to that extend
Lakini kama kimkataba madini yote yanayochimbwa ni ya mwekezaji na anachodaiwa ni mrahaba wa 4 percent, ambayo hao wawekezaji wanadai wanalipa, inawezekanje wawe wezi wa mali ya (mchanga uliokwisha chimbwa)? Ninachoona mimi na ukisikiliza tone za wachangiaji utagundua kuna makundi matatu au zaidi. Wapo wanaounga mkono hatua ya Rais wakiwa na akili na wanaelewa shida iliyopo, lakini ni ma-opportunist, wapo wanaounga mkono kwa kujua kinachoonekana tu, lakini ni mashabiki, wapo wanaounga mkono kwa kujua yaliyomo na kwamba hayo ni matokeo ya makosa yao wenyewe kwa siku zilizopita, lakini hawako tayari kubeba wajibu. Na wapo wanaopinga wakisimamia katika principle ya "Bonum ex integra causa, Malum ex quovis defectu". Haiwezekana kuhalalisha matokeo kwa mchakato uliobuma, tutakwama tu. It is a matter of time. Utamu wa nchi yetu ni ukweli kwamba hatujajilea kuwa responsible na hivi ni ruksa kuharibu kwa kuwa siku zitapita na watakuja wengine na maisha yataendelea kama jana. All the best my mother land!
 
mwengeso
Umejitahidi kurejea "textbook information/material on analytical tools" ili ujitambulishe kuwa ni msomi kumbe uneshindwa kueleza na jinsi gani zinapaswa kutumika katika suala la makanikia.
Mkuu inabidi usome tena uzi kwa utulivu maana naona hili ni povu sasa

Kwa kutumia jina laBashite umejipambanua mlengo wako na hivyo kupoteza radha ya kusudio la bandiko lako. Kwani Bashite ni nani! Hadi sasa hujajitambua! Unajinajisi.

Kwa kifupi "Bashite" unaelewa maana yake ila unataka kujitoa ufahamu tu

Watu mbumbu kama wewe hurukia mambo bila kutafakari kwa kina. Nimekwisha andika humu kwamba huwezi kudai umeibiwa au unaibiwa bila kuwa na ushahidi wizi umefanyika au unataka kufanyika. Huo ndio msingi wa utafiti na uchambuzi wa aina yoyote - Stating the Problem.
Ndugu yangu umetumia kilevi gani? inaonyesha uzi hujasoma kabisa utajuaje problem bila kufanya uchunguzi yakinifu? Juu unasema najionyesha nimesoma lakini pia bado ni mbumbu nakubali kabisa kama huo ndiyo mtazamo wako.

Wewe na wengine (calling yourseleves great thinkers) mnasema tatizo ni mikataba kutokana na Sheria mbovu. Lakini mnasahau kuwa Sheria au Mikataba hiyo inahusu rasmali ya nchi, ni ina thamani kubwa.
Sijajiita great thinker wala sita jaribu kujiita great thinker sababu si mmoja wao sasa usinizushie ambayo sijayasema.

Kama wewe ni "great thinker" nakuachia hilo ukijiuliza.

Kuna mawili unaweza kuwa umeandika haya under influence of something au kama umeandika na akili timamu basi hukusoma uzi.
 
Lakini kama kimkataba madini yote yanayochimbwa ni ya mwekezaji na anachodaiwa ni mrahaba wa 4 percent, ambayo hao wawekezaji wanadai wanalipa, inawezekanje wawe wezi wa mali ya (mchanga uliokwisha chimbwa)? Ninachoona mimi na ukisikiliza tone za wachangiaji utagundua kuna makundi matatu au zaidi. Wapo wanaounga mkono hatua ya Rais wakiwa na akili na wanaelewa shida iliyopo, lakini ni ma-opportunist, wapo wanaounga mkono kwa kujua kinachoonekana tu, lakini ni mashabiki, wapo wanaounga mkono kwa kujua yaliyomo na kwamba hayo ni matokeo ya makosa yao wenyewe kwa siku zilizopita, lakini hawako tayari kubeba wajibu. Na wapo wanaopinga wakisimamia katika principle ya "Bonum ex integra causa, Malum ex quovis defectu". Haiwezekana kuhalalisha matokeo kwa mchakato uliobuma, tutakwama tu. It is a matter of time. Utamu wa nchi yetu ni ukweli kwamba hatujajilea kuwa responsible na hivi ni ruksa kuharibu kwa kuwa siku zitapita na watakuja wengine na maisha yataendelea kama jana. All the best my mother land!

Welldone! Can't add more
 
Muhusika mkuu anayo ya kwake ambayo amekuwa akiitumia kwa miaka yote. Mbina sisi hatujamuomba hiyo? Kwa nn na yeye hasiamue kujilidhisha halafu akaiweka hadharani kama ya mruma? Kiini cha ripoti kipo kwenye abstract. Mruma katoa abstract. Sasa nini kingine? Acacia wanatakiwa na wao waende kwingine kujiridhisha kama sisi ambavyo tulisindwa waamini TMAA na kutafta wengine. Na wao Acacia wanatakiwa mtafta mwingine zaidi ya SGS na watupe abstract kama ya mruma. Tatizo nini? Nini jamani?

They are regulatetd with TMAA hivyo ripoti wao ya nini? Serikali ndiyo yenye shida lakini wao ndiyo wanataka kucheza mchezo mchafu wa kitoto ambao utatutokea puani. Kizuri waziri mkuu ni mwenye busara sana na anajua tayari kuna tatizo mbele ndiyo maana kaanza kumwagia maji baridi kupoza
 
Umeuliza swali la msingi sana lakini swa lako litakuwa na maana sana ikiwa matokeo ya ripoti yangekuwa hayana shaka na kuwa wazi kujadilika.

Acacia wameomba ripoti na wao wajiridhishe nayo lakini serikali haijawapa au imewanyima wewe huoni kuna tatizo hapo?

Lakini Acacia wameenda mbali zaidi kusema matokeo yamepikwa na hayaitaji ujuzi kujua hilo sababu namba haziwiani
Mkuu binafsi nakubaliana na hoja za ACASIA kwa sababu zina mantiki kuliko hoja za Tundu. ACACIA hawaamini findings za Kamati ya wataalam wetu, which is very fine na wanahaki ya kuthibitishiwa kuwa wamekuwa wakitudanganya na ama wao kututhibitishia kuwa huwa hawatudanganyi,
Issue hapa ni False declaration. Suala la mikataba mibovu hilo tunalijua siku nyingi sana. Tundu anaweza kulileta kama issue nyingine tu na tutamuunga mkono, unless atuambie katika hiyo mikataba False declaration inaruhusiwa na haina consequence yeyote kisheria
 
Jibu ni rahisi tu mkuu, inawezekana kweli tunaibiwa, lakini tatizo linabaki pale pale, njia zilizotumika kumkamata huyo mwizi ndio shida inapoanzia.

ACACIA wameikataa tume pamoja na ripoti yake, maana haina uhalali kisheria. Na hata majaliwa ameshalitambua hilo ndio maana akatoa ile kauli ya kuwa wao (Serikali) walitaka kujiridhisha tu. Wameshajua kuwa walikurupuka.
Kwa hiyo ni kwa nini ACACIA wanajieleza kuwa wamekuwa waaminifu katika kudeclare mineral concentrates siku zote? Ni kwa nini wanapoteza muda kujieleza kwa mamlaka isyo halali kisheria?
 
hilo ndio gap kubwa ambalo anawachanganya followers wake.
sisi tumekamata mwizi, yeye anaibua hoja zisizohusiana na wizi huo hauzungumzii.
wizi ni undeclared minerals kwa kusingizia kama hazina commercial value.
Wizi ni kusema kiwango cha dhahabu niasi flani sisi tunafungua kiasi flani.
hapo sijui mikataba inaingiaje. maneno mengi lkn yako nje ya mada.
MIGA,SHERIA,MIKATABA haiwezi kuruhusu mtu 10 kuiita 2.
Do you mean wanaiba madini yaliyopo kwenye mchanga tu.
Yaani badala ya kuwa concerned na gold inayopatikana kwanza mnadeal na ya kwenye mchanga ambayo inaweza kuwepo au isiwepo.
 
Back
Top Bottom