Wangapi tunahitaji kufahamu ukweli juu ya huyu binti?

Nimewahi kuongea nae tiktok kwenye live yake binti ni mTanzania halisia na kiswahili kizuri cha kibongo na anafanya kilimo cha mpunga sumbawanga huko sema kwa jinsi alivyo lazima kuna sponsor kawekeza hapo maana binti ni analima kisasa sana na pia ni mfugaji huko huko sumbawanga. Hadi tulipanga tuonane nimpeleke bonde la usangu Mbeya wilaya ya Mbarali akacheki kama anaweza kulima mpunga pia huko. Na mpaka namba alinipatia tukawa tuna wasiliana sana whatsapp video call akiwa kwenye field zake za kilimo. Ila aliniambia kaolewa but vidoleni hana pete.
 
Kuweka taarifa sawa ni Raia wa burknafaso(sijui inaandikwa hivyo)
Anaongea kifaransa na kiingereza
Ni mkulima
Ni aina ya mabinti ambao wamegeukia kilimo ukienda kule SA wako wengi sana hata hapa kwetu naona wameanza hasa mikoani ila soko linazingua
Acha uongo mzee binti ni mtanzania na anafanya kilimo na ufugaji sumbawanga huko sema tu kuna mitandao mnaidharau ila ukiingia tiktok anakuwa live almost kwa wiki maramoja au mbili mbona watu kibao wanamfahamu ....sema kwa natural beauty yake picha zake zimetumika na pages kibao mpaka za nigeria huko hivyo kupelekea watu kutojua uraia wake ila ni mbongo puuure
 
Nimewahi kuongea nae tiktok kwenye live yake binti ni mTanzania halisia na kiswahili kizuri cha kibongo na anafanya kilimo cha mpunga sumbawanga huko sema kwa jinsi alivyo lazima kuna sponsor kawekeza hapo maana binti ni analima kisasa sana na pia ni mfugaji huko huko sumbawanga. Hadi tulipanga tuonane nimpeleke bonde la usangu Mbeya wilaya ya Mbarali akacheki kama anaweza kulima mpunga pia huko. Na mpaka namba alinipatia tukawa tuna wasiliana sana whatsapp video call akiwa kwenye field zake za kilimo. Ila aliniambia kaolewa but vidoleni hana pete.
ikawaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom