Wanawake wengine bana..

We nenda tu safari yako, kwa ulikuwa hujajua kwa nini unanyimwa papuchi mkuu? Nakulaga hiyo ngoma we subiria ndoa tu maana ukupewa waweza ghairi.
kupeana ndo kunadumisha love ujue mambo ya kuuziwa mbuz kwenye gunia ctak.
 
Kutoa ahadi sio kigezo cha wewe kula mzigo.. Afu ukimla hiyo miaka miwili ukiondoka unadhani ataishije? Tena binti wa watu kama ni bikra na asikupe kabisa hadi umuweke ndani la sivyo ukiondoka ukiwa umesex nae ukirudi utakuja na mada nyingine hapa. Afu kama kweli anakupenda na hajawahi jaribu mchezo kuna asilimia kubwa akakusubiri ukaja ukamuoa. Ila usilazimishe kusex nae kama hajaridhia machoz yake utayalipa in one way or another, don't try breaking the heart of the innocent girl. Safari njema
 
Duh! huyu mwanamke simuelewi kabisaaa, yaani kiukwel sijui kama anamapenz ya dhati kwangu au ana pretend.
Nimwanamke ambaye tumeahidiana kuoana na pia ikitokea nimempelekea zawadi na yeye ananiletea zawad yaan in short tunasaidiana.

Tatizo ni moja tu tangu juzi namuomba papuchi ananibania leo hii tena nimemwambia kuhusu kitu hicho kagoma maana kesho naondoka namuacha home huku nikielekea mkoa mwingine kikazi.
Je, nimuache hivyohivyo kweli au nitumie nguvu maana huko niendako naweza kaa hata miaka miwili ndio nirudi kwaajili ya kukamilisha masuala yoote kwake.

AU NDIO NIACHANE NAE MAANA ET ANANIAMBIA ATAKUWA MWAMINIFU KWANGU ILA MIMI NINAMPANGO WA KUMUACHA
Uraaa kuna kurudi apo kweli miaka miwili ata mi ningekataa lol
 
Kutoa ahadi sio kigezo cha wewe kula mzigo.. Afu ukimla hiyo miaka miwili ukiondoka unadhani ataishije? Tena binti wa watu kama ni bikra na asikupe kabisa hadi umuweke ndani la sivyo ukiondoka ukiwa umesex nae ukirudi utakuja na mada nyingine hapa. Afu kama kweli anakupenda na hajawahi jaribu mchezo kuna asilimia kubwa akakusubiri ukaja ukamuoa. Ila usilazimishe kusex nae kama hajaridhia machoz yake utayalipa in one way or another, don't try breaking the heart of the innocent girl. Safari njema
Dada yangu nakupa salute for your advice
 
Sasa ww unasafiri miaka miwili alafu unataka papuchi Leo!!??? Kwan ukipiga Leo ndo utakaa miaka yote
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom