Wanawake wengi ni wavivu kitandani

Ni ukweli uliodhahiri kuwa mahaba au kitendo cha kujamiiana(kwa watu waliokidhi vigezo kama ni Mke na Mme au wachumba ama wapenzi walio zaidi ya miaka 18)ni sanaa,ni tendo ambalo huhitaji utulivu wa hali ya juu na ufundi maana ni kitendo adhimu ambacho hubeba maana kamili ya mapenzi na ndoa.

Katika siku za karibuni kumekuwapo na ongezeko la matangazo ya kuongeza nguvu za kiume hasahasa kwa wanaume. Dhana hii imekuwa ikiaminika kusababishwa na mabadiliko ya ulaji na sababu zinginezo muhimu.

Leo ningependa niongelee sababu moja ya kisaikolojia inayosababishwa na wapenzi wetu wa kike. Ukweli ni kuwa wapenzi wetu wa kike wengi wao ni wavivu wawapo vitandani. Huu ni ukweli usiosemwa kuwa Dada zetu hutumia mbwembwe nyingi zaidi kupitia phone sex ama video clips za kulamba midomo kuchagiza wapenzi lakini ifikapo wakati wa tendo lenyewe Dada zetu hubaki kuwa watazamaji tu.

Uvivu ninaoumaanisha ni kukosa manjonjo na vikorombwezo kitandani kwa Dada zetu,(neno Gogo sio zuri ingawa hutumika kumaanisha mtu asiyejishughulisha kitandani). Uko kitandani na mwandani wako lakini kila ukijaribu kumpa style mpya anasema hawezi ama hajazoea,kutokana na tatizo hilo hupelekea DISAPPOINTMENT kwa wanaume na mara nyingi wanaume wengi huishia Ku score goli moja kwa sababu ya kukosa mzuka kutoka wapenzi wao,inakuwa ni sawa na kujipigia ngoma na kucheza mwenyewe suala hili huwa halisemwi sana lakini ni ukweli usiosemwa.

Achana na matemu wa kichaga.tafuta wa tanga hakika wanajua zaidi
 
Mkuu umenena ukweli mtupu, mwanamke hana hata manjonjo yoyote kitandani wa nn?!! ni shiidah, mpaka huwa namkumbuka dem wangu wa kitanga. Wanawake badilikeni, mnakera sana baadhi yenu
Ni kweli kwamba baadhi ya makabilaa kwny sekta ya mapnz wapoo vizurii kamaa ulvyosema dem wkoo wa kitanga?.......
 
mfundishe basi sio kumsema huku...khaaaaaa...ningekuona wa busara kama ungempa somo kidgo...we ni mmbea ..na mwanaume mmbea hatakiwi kwenye jamii...mwanaume mwenye busara akimpenda mwanamke ni zaidi ya manjonjo kitandani...unaweza kupata manjonjo lakini mwanamke anagubu..ukifika nyumbani unpokelewa na makele..shari ndani ya nyumba hazikosekani...bora huyo unaemuita sijui 'gogoliciuos'.

Ushauri wa bure mtafutie kungwi amfunde
 
Back
Top Bottom