Mwanume enjoy maisha kufa hakukwepeki . Hata uwe mwema kama malaika utakufa tu. Ya nini uitese nafusi yako kwaajiri ya kutaka kutuzwa kama mtoto uzeeni. Cha mhim hakikisha unaweka mipango ya kujitegemea uzeeni kama Mungu atakujaria kuzeheka na akili na afya.Mapenzi ni vita.
KATAA NDOA LINDA AMANI YAKO!
KaziKweliKweli/JobTrueTrue