round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 667
- 2,300
Hatukatai uzazi wa mpango ni muhimu, tunazalisha idadi ya watoto tunaoweza kuwamudu na kuwahudumia.
Tatizo linakuja mna uwezo wa kuhudumia hata watoto saba lakini mwanamke anafunga breki mtoto wa pili.
Raha ya ndoa watoto, na raha ya mtoto ni kuwa na ndugu zake wengi.
Wanawake wengi sikuhizi wakizaa mtoto moja au wawili shughuli imeishia hapo, wakijivuta sana basi watatu.
Vuta picha una pesa, kazi nzuri au biashara yako nzuri tu unaweza kumudu hata watoto saba lakini mkeo anataka kuzaa watoto wawili tu, hicho ni kipengere !!
Lakini kwa wanawake walioishia la saba wapewe maua yao, mbali na kusifiwa kudumu kwenye ndoa lakini wamejizolea points za ziada kwenye utayari wa kufyatua watoto, kama mazingira yanawaruhusu kufyatua watoto wengi basi ni kufyatua tu na kuwalea,