Wanawake walioishia darasa la saba wapewe maua yao, nje ya kujizolea points za kudumu kwenye ndoa, wanaongoza pia kuwa tayari kuzaa watoto 4 au zaidi

round kick

JF-Expert Member
Feb 3, 2025
667
2,288
Hatukatai uzazi wa mpango ni muhimu, tunazalisha idadi ya watoto tunaoweza kuwamudu na kuwahudumia.

Tatizo linakuja mna uwezo wa kuhudumia hata watoto saba lakini mwanamke anafunga breki mtoto wa pili.

Raha ya ndoa watoto, na raha ya mtoto ni kuwa na ndugu zake wengi.

Wanawake wengi sikuhizi wakizaa mtoto moja au wawili shughuli imeishia hapo, wakijivuta sana basi watatu.

Vuta picha una pesa, kazi nzuri au biashara yako nzuri tu unaweza kumudu hata watoto saba lakini mkeo anataka kuzaa watoto wawili tu, hicho ni kipengere !!

Lakini kwa wanawake walioishia la saba wapewe maua yao, mbali na kusifiwa kudumu kwenye ndoa lakini wamejizolea points za ziada kwenye utayari wa kufyatua watoto, kama mazingira yanawaruhusu kufyatua watoto wengi basi ni kufyatua tu na kuwalea,
 
Raha ya ndoa watoto, na raha ya mtoto ni kuwa na ndugu wengi maana hakuna mtu mnayejuana kwa ukaribu utotoni hadi uzeeni kama ndugu, damu nzito kuliko maji.

Wanawake wengi sikuhizi wakizaa mtoto moja au wawili shughuli imeishia hapo, wakijivuta sana basi watatu.
unawazungumzia wanawake wa kataa ndoa au walio kwenye ndoa zao?
 
Hatukatai uzazi wa mpango ni muhimu, tunazalisha idadi ya watoto tunaoweza kuwamudu na kuwahudumia.

Tatizo linakuja mna uwezo wa kuhudumia hata watoto saba lakini mwanamke anafunga breki mtoto wa pili.

Raha ya ndoa watoto, na raha ya mtoto ni kuwa na ndugu zake wengi.

Wanawake wengi sikuhizi wakizaa mtoto moja au wawili shughuli imeishia hapo, wakijivuta sana basi watatu.

Vuta picha una pesa, kazi nzuri au biashara yako nzuri tu unaweza kumudu hata watoto saba lakini mkeo anataka kuzaa watoto wawili tu, hicho ni kipengere !!

Lakini kwa wanawake walioishia la saba wapewe maua yao, mbali na kusifiwa kudumu kwenye ndoa lakini wamejizolea points za ziada kwenye utayari wa kufyatua watoto, kama mazingira yanawaruhusu kufyatua watoto wengi basi ni kufyatua tu na kuwalea,
Naam,
Ukitaka kuwa na ndoa tulivu oa msichana wa darasa la saba.
Maisha utayafurahia.
Wana sifa ya utii, unyenyekevu, wavumilivu.
Walezi wazuri wa watoto na mume.
wapishi wazuri wa chakula na kitandani.
 
Back
Top Bottom