Engager JF-Expert Member Jan 12, 2011 1,371 2,887 Jan 14, 2024 #1 Sijui hichi kidokezo kitamfaa nani ila kichukue tuu ukae nacho kama mwongozo wa maisha yako. Huenda kesho kitakufaa. Hawa wanawake akikopa hela hakulipi, na hachelewi kukuporomoshea matusi akiona unazidi kumdai.
Sijui hichi kidokezo kitamfaa nani ila kichukue tuu ukae nacho kama mwongozo wa maisha yako. Huenda kesho kitakufaa. Hawa wanawake akikopa hela hakulipi, na hachelewi kukuporomoshea matusi akiona unazidi kumdai.
Kennedy JF-Expert Member Dec 28, 2011 49,897 55,759 Jan 14, 2024 #2 😃😀😄😅😅😁 Mkorogo Imekuwa Alama Muhimu Kwenye Ulipaji Madeni
fundi bishoo JF-Expert Member Jun 26, 2018 13,434 23,601 Jan 14, 2024 #3 na hawa wenye vipini wana sifa gaNi
LOTH HEMA JF-Expert Member Dec 6, 2015 13,998 19,301 Jan 14, 2024 #4 Muwe mnaangalia watu wa kukopeshwa, vinginevyo wapeni bure kuwasaidia tu
Azarel JF-Expert Member Aug 25, 2016 26,390 34,756 Jan 14, 2024 #5 Engager said: Sijui hichi kidokezo kitamfaa nani ila kichukue tuu ukae nacho kama mwongozo wa maisha yako. Huenda kesho kitakufaa. Hawa wanawake akikopa hela hakulipi, na hachelewi kukuporomoshea matusi akiona unazidi kumdai. Click to expand... Usiombe awe Mwislam
Engager said: Sijui hichi kidokezo kitamfaa nani ila kichukue tuu ukae nacho kama mwongozo wa maisha yako. Huenda kesho kitakufaa. Hawa wanawake akikopa hela hakulipi, na hachelewi kukuporomoshea matusi akiona unazidi kumdai. Click to expand... Usiombe awe Mwislam
min -me JF-Expert Member Jul 20, 2022 9,479 20,862 Jan 14, 2024 #6 Apo tanga huwaambii wamama kitu kuhusu mkorogo.
Mjanja M1 JF-Expert Member Oct 7, 2018 3,743 12,661 Jan 14, 2024 #7 Pia wanahasira sana. KaziKweliKweli/JobTrueTrue