Wanawake wa JamiiForums ni watemi sana

Kidooogooo unanishawishi nije nije kwenye mlengo wako. Lakini mkuu, hata wanaume huamua kuwafanyia hayo yote(kuwakopa, kuwapiga na kuwadhulumu, n.k) si kwa kupenda;ila nasi unakuta tumebadilishwa na kufanywa tuwe na roho ndimu,roho chachu.

Mbona hata sisi ni wapole kiasi, wanyenyekevu kiasi, na tuna upendo wa kweli vilevile.

Hao ni wapole ila wakibadilika ni ntoleee huwa hawarudi nyuma.
Hii kitu hii ni sumu mbaya sana kwenye mahusiano inajenga inabomoa inabadilisha
Love-for-money.jpg
5.28.Top5MisusedVerses_745908093.jpg
 
Hii kitu hii ni sumu mbaya sana kwenye mahusiano inajenga inabomoa inabadilishaView attachment 533839View attachment 533840
Mkuu ukiwa na hii kitu wala huhitaji kuongea maneno mengi kwenye kutongoza
Wale wanaojiona ni wa class watakununulia zawadi perfume na mashati,
Wale Kama mimi wa Kwamtogole watakukaribisha ugali nyumbani ili mradi hutongozi
 
Dear Mshana Jr.. nlidhani siku ile nimekuomba radhi yameisha sikutegemea kama bado utakuwa na kinyongo kiasi cha kuja kuanzisha uzi.
Labda nikwambie kitu, mimi sio mpole kama unavyonidhania ila najiheshimu. Ipo tofauti kubwa kati ya mtu mpole by nature na mtu anayeepusha shari..hivyo yan. Kitu kingine mimi napenda sana utani ila sipendi utani uliopitiliza, usio na mipaka na usioheshimu hisia za mtu mwingine hasa yule mtaniwaji. Ninaweza kuvumilia kutukanwa ila nna zero torelance kwenye utani uliopitiliza.
Najua nlikukosea heshima pakubwa but please try to understand...
Kingine niseme mimi ni yuleyule kabla na baada ya Jf..ni vile tu hunifahamu personally ila ndo hivyo. I apologize once again
 
Back
Top Bottom