As Salafiyyu91
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 2,537
- 2,532
Ndo maana huyo binti anajihifadhi ipo siku Mungu atamletea anayefanana nae!!!Yenye maganda
Ndo maana huyo binti anajihifadhi ipo siku Mungu atamletea anayefanana nae!!!Yenye maganda
Nimeskia sauti yako nikageuka huku na huku nikajua una shemeji mwingine.u made my day shem
Hata kama ukipewa uonje, hupewi lile utakalouziwa.Lazma uonje kwanza
Mkuu kweli!!! Umejihifadhi na ukahifadhika ?ambaye ni mimi
Wewe OG wengine wa kufikiaNimeskia sauti yako nikageuka huku na huku nikajua una shemeji mwingine.
Kushtuka kumbe ni mimi.
ukilipa wakat limeoza ?Kwani ukifika dukani unaruhusiwa kula embe ndiyo ulilinunue?
Nilishangaa eti..Wewe OG wengine wa kufikia
Basi M pm na Fuata taratibu Stahiki lakin mkuu jiulize swali moja Je kuna mke wa mtandaoni tena anajinadi kuwa eti amejihifadhi!!!!yeah mkuu npo vzur mno
Hata karanga zinauzwa ila zipo za kuonjaSijaona muuza maembe anaeruhusu uonje maembe yake kwanza.
Akijibu hili swali nampa of a ya kujiangalia kwenye kioo siku tatuKwani ukifika dukani unaruhusiwa kula embe ndiyo ulilinunue?
Huko mbele tutatafuta njia ya kidemokrasia ya kukagua marinda kama yapo (sio kwa kuzibua)MIAKA YA SIKU HIZI NI TOFAUTI NA ZAMANI.
SASA HIVI NI LAZIMA UMUONJE MDADA NA KUHAKIKISHA UNAMPA MIMBA NA NDOA NA HUU NDO MSINGI MKUU
NA WATU WENGI WANAFANYA HIVI KWA SABABU ILI KUEPUKANA NA TATIZO LA UGUMBA
Wateja wengine wakisha onja hawanunui.Hata karanga zinauzwa ila zipo za kuonja