Wanawake wa aina hii wanakera, wanakwaza

Status
Not open for further replies.
Hata kuchamba hawachambi wengine wapo busy na Simu ha ha
Hapa sasa kuna haja ya kuanza kampeni ya kusisitiza kila toilet kiandikwe kibao chenye maandishi "ZIMA SIMU YAKO KABLA YA KUINGIA AU USIINGIE NA SIMU" Hii itasaidia kwa kiasi fulani kunusuru tatizo hilo
 
Jamani mnashindwa kuwaambia? Mwanaume akisema mke wangu sipendi hiyo tabia yako unavyofanya..huwa tunaelewa. Sauti ya baba kwenye nyumba ina nguvu sana na si rahisi kukaidi.
Kule kwetu Mara tumewaambia sana hadi tumechoka sasa hivi tunapiga tu!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom