Kwanini mwanaume na sio mwanamke?Huyo mwanaume ndo mchafu
Hata na yy hubby rafiki zake siwajuiNdio inavyotakiwa dear rafiki ni rafiki na mume ni mume
Ukweli ni kwamba wanawake ni wanafiki wa kiwango cha hali ya juu sana, wanawake ni wachafu sana. Huchelewi kukuta huyo rafiki alitumia njia/ mbinu nyingi sana kumtega/ kumshawishi mume wa rafiki yake. Ikumbukwe mwanaume ni binadamu yuko na mapungufu yake. Kama ni rijali hawezi kukubali umtege kwa kumkalia uchi alafu et awe anaishia kuinama chini, anakugegeda vizuri ndio kama hivyo na mimba anakupa unaitoa unaishia kuchakaa huna lolote ulilolipata la maana ila mwenzako ndio tayari yuko ndani ya ndoa. Wanawake badilikeni.Huyo mwanaume ndo mchafu
mume kitu kingine haya mambo uyasikie tuHahaha yani mm ndo mana sinaga mashoga,yani kama ushoga tujuane ukouko nje nikitoka hapo sina tym na ww tena.na hata ikitokea kua nae uyo shoga basi simlegezei kua na urafiki wala ukaribu na mme wangu,niko makini kwakwelimume anauma hhmmm!!usisikieeee
na kingine ni tamaa na wivu alivyokua anaona rafiki yake anavyoishi na mumeo sisi wanawake tuna roho mbaya sana jamaan na unafkiUkweli ni kwamba wanawake ni wanafiki wa kiwango cha hali ya juu sana, wanawake ni wachafu sana. Huchelewi kukuta huyo rafiki alitumia njia/ mbinu nyingi sana kumtega/ kumshawishi mume wa rafiki yake. Ikumbukwe mwanaume ni binadamu yuko na mapungufu yake. Kama ni rijali hawezi kukubali umtege kwa kumkalia uchi alafu et awe anaishia kuinama chini, anakugegeda vizuri ndio kama hivyo na mimba anakupa unaitoa unaishia kuchakaa huna lolote ulilolipata la maana ila mwenzako ndio tayari yuko ndani ya ndoa. Wanawake badilikeni.
Yani mbaya zaid kumsifia mume mbele ya uyo rafiki au shoga ako yani utaona anakuchekea nje nje kumbe ndani anakupangia njama na trick zake jinsi ya kumuweka kiganjani aone icho kinachokufanya umsifumimi sjawahi kua na shoga na wala sitegemei,yani ushoga unaishiaga mtandaoni au barabaranimume kitu kingine haya mambo uyasikie tu
acha tuYani mbaya zaid kumsifia mume mbele ya uyo rafiki au shoga ako yani utaona anakuchekea nje nje kumbe ndani anakupangia njama na trick zake jinsi ya kumuweka kiganjani aone icho kinachokufanya umsifumimi sjawahi kua na shoga na wala sitegemei,yani ushoga unaishiaga mtandaoni au barabarani
Ukweli ni kwamba wanawake ni wanafiki wa kiwango cha hali ya juu sana, wanawake ni wachafu sana. Huchelewi kukuta huyo rafiki alitumia njia/ mbinu nyingi sana kumtega/ kumshawishi mume wa rafiki yake. Ikumbukwe mwanaume ni binadamu yuko na mapungufu yake. Kama ni rijali hawezi kukubali umtege kwa kumkalia uchi alafu et awe anaishia kuinama chini, anakugegeda vizuri ndio kama hivyo na mimba anakupa unaitoa unaishia kuchakaa huna lolote ulilolipata la maana ila mwenzako ndio tayari yuko ndani ya ndoa. Wanawake badilikeni.
hili nalo ni tatizo kubwa sanaKuna wanawake wengine kutwa nzima anashinda kwenye soga na mashosti akiona kitu kizuri cha kununua anajiapiza lazima apate hela ya kukinunua(hela ya mume) tena mbele ya shoga zake anawaambia usiku hatoi mechi mpaka kieleweke na mambo tele
Hapo shosti anabeba hayo maneno na mbinu tele lazima mwanaume ataingia kwenye himaya yake kilaini