Wanawake Singo Mama, wanawachukulia Wanaume wenye watoto (Singo Baba) kama wanaoendana .!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Feb 6, 2017
25,603
78,176
Ushawahi Jiuliza kwann Mwanamke mwenye mtoto au watoto, akiwa anatafuta Mume ,kigezo chake Cha kwanza ni 'Mwanaume awe pia na mtoto au watoto'?.

Hiyo mbinu inaitwa Kusahihisha kosa Kwa Kumfanya MTU naye ajihisi alifanya makosa .

Yaan hapo mnakua mko Kwa mizani sawa !!

Mwanamke mwenye mtoto au watoto ila hajaolewa.
Akikutana na Mwanaume mwenye mtoto au watoto yaan mwanaume alozalisha zake watoto .

Ikitokea wee Singo Baba, umemtongoza Singo Mama , huyu Mwanamke ataanza kukukabia juuuu, yaan aanze kukutengenezea mazingira ya wewe mwanaume ujione " ahhhhh namimi na mtoto /watoto " ngoja tu niishi na huyu mwanamke ( Singo Mama).

Yaan Kwa Lugha nyingine, mwanamke huyo anakua anakuona wewe mwanaume kua Nawewe ulifanya makosa kama yake ya Kuzalisha bila kua Ndoani .

Utasikia watoto wetu , wakwako na wakwangu , tunazaa Mmoja tu jumla tunakua nao watatu.


Daahh hapo unakuta Singo Mama ana mishono ya Upasuaji wa kujifungua miwili, hapo anakua kakubakishia mtoto Mmoja tu.

Sasa utasikia, Mimi nakuzalia Mmoja, ukiongeza wakwako na wa kwangu, tunakua nao watatu.

Alaaa wakuuu ,Nimeshtuka ,anataka kunipiga kitu kizito,,, nilimuita aje anisalimie ,akaja na Dogo wake wa miaka minne .

Picha linaanza, alipofika tu akaanza Maneno, Chumba hiki watalala wakike, Chumba kile wakiume , hiki chetu ,kile wageni .

Yote haya aliyaanza nilipomwambia so far Nina watoto sita, Kila mtoto na Mama yake.

Akaanza kusema ohooo, Mimi nakuzalia wawili tu Sasa.

Duuhh binafsi mwanamke nayetaka Kumuoa, ni Mmoja tu nilimkuta hajazaa, na nilimkuta Bikra, na nikamzalisha mtoto Mmoja.

Sasa huyu Bidada, kisa kanikuta Nina Maisha ya yeye kuonekana ni mwanamke mwenye bahati , anataka kukuambia Juu🤣nmestukaaa .

Alafu kingine kaanza habari za Kadogo kake nikapeleke Shule nzuri, weeeeee.

Yaan watoto wangu sita nipambane nao, alafu nipambane kusomesha Damu isiyo yangu !!

Watu mtasema..

Ohooo somesha tu Hujui atakayekutunza..

Somesha tu huyo ni malaika wa Mungu ..

ACHENI Bangi !!

Hatupaswi kuishi Kwa kujiwazia kuja kusaidiaa na watoto.

Kesho anaondoka, napumuaa ,kakaa wiki tatu , ila duuhh, Katoto kanaliaaaa liaa, kelele nyingi ,kakorofiiiii kwelikweli , kamevunja vunja vitu, kioo Cha kabati kimeenda , alafu Singo Mama akikuona umekapiga tukofi tuwili ananuna anakuambia "Kwa vile mtoto sio wako"...haya yote napitia alafu Kajamaa kalimpa Mimba, kapo ,kamechil najua kanakua kanamuuulizia "Huyo mtoto anaendeleaje?🤣

Aahhh kesho anasepa Mkuu, harudii tenà, hii yenyewe imebidi nikuambie nenda Kwa Mama yako ujiandae nakuja huko kujitambulisha. yaan Nahisi kama alinifanyia madawa ,maana alisema anakaa siku tatu, nikashangaa wiki tatu hizi hapa.

Daahh Esther mitako wangu, mtoto mishepu, yako takooo, guu hiii, mwanamke wa Dini, nilimkuta Bikra akiwa namiaka yake 24 , nmeaza naye ningemkosa kisa madawa ya huyu Singo Mama.

Nimekoma kumkaribisha Singo Mama kwangu, nitakua nakutana nao Gest tu.
 
Back
Top Bottom