KATASAN'KAZA
JF-Expert Member
- Jul 24, 2013
- 3,097
- 1,352
- Thread starter
- #21
Watu tunayatafuta hayo mamaza yenye wezere hatuyapati,wewe mwenzetu unayaponda?
Mkuu kwa dsm hayana soko...! Labda mbeya huko kwenye baridi maana ukitoka nalo muda jua unaweza kusafocate aisei...