Wanawake muwe makini wanaume ni wachache sana

Mkuu ngoja turinge kwanza halafu wengine wabaki single
Unafahamu kwa nini maandiko yanakwambia uishi na mwanamke kwa akili?.

NOTE; Ke wa new age hawa waliotoa ujinga darasani, hawana mpango na Me anachofanya ni kujibonyeza kwako unaingia mkenge gafla mimba analea mwenyewe.
 
Ngoja tutafte mmoja mmoja harafu wengine wabaki single
Hapa tufanye equilibrium
 
Kila mmoja anatakiwa awajibike kulingana na majukumu yake na nafasi yake katika mahusiano na sio kuwa selective kati ya mwanamke au mwanaume. Mambo ya idadi ya watu tuwaachie Wachina na Wahindi.
 
Sawa mkuu kwahiyo sisi tuendelee na slogan ya kokote kambi
 
Unafahamu kwa nini maandiko yanakwambia uishi na mwanamke kwa akili?.

NOTE; Ke wa new age hawa waliotoa ujinga darasani, hawana mpango na Me anachofanya ni kujibonyeza kwako unaingia mkenge gafla mimba analea mwenyewe.
Leo kanisani pana mwamba kauliza what if hiyo akili ya kuishi na huyo mwanamke umegundua hauna je umkate asikukoseshe mbingu au uvumilie mpaka abadilike
 
Shida inakuja hapa, wanawake wengi wa sasa hawataki kuolewa
Kasome kitabu cha Isaya kuna mstari upo unasema "itafikia kipindi wanawake sita watashea mwanaume mmoja, ili awasitiri kwa aibu " na siku hizi dada zangu mpaka mahari mnajitolea.
 
Kingine kwenye jamii yetu single Maza wamezidi kuongezeka na kwenye kikao chetu tulikubaliana hakuna kuoa single Maza nazani neno linakaribia kutimia
Kasome kitabu cha Isaya kuna mstari upo unasema "itafikia kipindi wanawake sita watashea mwanaume mmoja, ili awasitiri kwa aibu " na siku hizi dada zangu mpaka mahari mnajitolea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…