Wanawake muwe makini wanaume ni wachache sana

Mkuu ngoja turinge kwanza halafu wengine wabaki single
Unafahamu kwa nini maandiko yanakwambia uishi na mwanamke kwa akili?.

NOTE; Ke wa new age hawa waliotoa ujinga darasani, hawana mpango na Me anachofanya ni kujibonyeza kwako unaingia mkenge gafla mimba analea mwenyewe.
 
Bwana bwana iko hivi.. Wanawake wa ukweli aka standard pia wako wachache. Saivi maronyaronya ni meng mno sisemi kwa ubaya. Hata nyinyi wanaume mnatakiwa muwe makini.

Saivi michina imeongezeka sio wanaume sio wanawake wote faken kwahyo everybody anatakiwa awe careful sana. Ama la kama unahisi kisa we mwanaume una a great range of choice be my guest uone katika 1000 utakaowapata pisi za kwenda au mwanamke wa kuweka ndani ni ngapi!

Na kumbuka to every action there is an equal and opposite reaction sasa wewe mwanaume hujielewielewi af oooh wanawake wengi basi sawa yetu macho na masikio!!!
#naongeaninihiki#
Ngoja tutafte mmoja mmoja harafu wengine wabaki single
Hapa tufanye equilibrium
 
Leo napenda kuwatonya wanawake kuwa wawe Makini na wanaume kwa sababu zifuatazo.

Gazeti la Independent lilichapisha Ripoti iliyo tolewa na UN mwaka 2019.
Ripoti hiyo ilijumuisha idadi ya watu duniani na kufafanua kama ifuatavyo.
1- Ripoti ilionyesha kuna jumla ya watu Billion 7.8 duniani
Wanawake wakiwa ni billion 5.6
•wanaume wakiwa ni billion 2.2

Gazeti hilo lilitoa Ripoti hiyo, hivyo Mimi hapa nashauri wanawake kuwa makini na hisia za wanaume sababu wanaume wapo wachache zaidi ya wanawake ikiwa mwanaume mmoja akiwa na mke mmoja basi wanawake billion 3.4 watakua single.
Pia si hayo tu na hao wanaume billion 2.2 si wote watakua na wake Kwa sababu zifuatazo.
1- >wanaume billion 1 washaoa tayari
2- >wanaume million 130 wako jela
3- >wanaume million 70 wanaugonjwa wa akili.

Hivyo Ripoti inaonyesha wanaume billion 1 ndio wamebaki hapo ambao wanaweza kupata wake, lakini bado si wote walio baki wanaweza kuoa tena kwa sababu zifuatazo
1- >50% ya wanaume hawana kazi
2- >3% ya wanaume ni mashoga
3- >5% ya wanaume ni makuhani wa kanisa Catholic
4- >10% ya wanaume ni ndugu wa karibu
5- >32% ya wanaume ni wazee(wenye zaidi ya miaka 66).

Hivyo wanawake kwa wote walio olewa na ambao hawajaolewa mwapaswa kumujali mwanaume maana tupo wachache sana.

Makala hii imeandaliwa na kuchambuliwa na mimi mwana JF mtukutu Emmanuel Kasomi kwa msaada wa Ripoti ya Gazeti la Independent na UN.

Kasomi TV
Kila mmoja anatakiwa awajibike kulingana na majukumu yake na nafasi yake katika mahusiano na sio kuwa selective kati ya mwanamke au mwanaume. Mambo ya idadi ya watu tuwaachie Wachina na Wahindi.
 
Mkuu Tanzania ndo kuna uhaba wa wanaume mbona
4DCBB182-3A4F-4367-A331-1F63B2C41656.jpeg

Uhaba upi?
Una takwimu zipi
Hizia za NBS
 
Unafahamu kwa nini maandiko yanakwambia uishi na mwanamke kwa akili?.

NOTE; Ke wa new age hawa waliotoa ujinga darasani, hawana mpango na Me anachofanya ni kujibonyeza kwako unaingia mkenge gafla mimba analea mwenyewe.
Leo kanisani pana mwamba kauliza what if hiyo akili ya kuishi na huyo mwanamke umegundua hauna je umkate asikukoseshe mbingu au uvumilie mpaka abadilike
 
Shida inakuja hapa, wanawake wengi wa sasa hawataki kuolewa
Kasome kitabu cha Isaya kuna mstari upo unasema "itafikia kipindi wanawake sita watashea mwanaume mmoja, ili awasitiri kwa aibu " na siku hizi dada zangu mpaka mahari mnajitolea.
 
Kingine kwenye jamii yetu single Maza wamezidi kuongezeka na kwenye kikao chetu tulikubaliana hakuna kuoa single Maza nazani neno linakaribia kutimia
Kasome kitabu cha Isaya kuna mstari upo unasema "itafikia kipindi wanawake sita watashea mwanaume mmoja, ili awasitiri kwa aibu " na siku hizi dada zangu mpaka mahari mnajitolea.
 
Back
Top Bottom