Wanawake muwe makini wanaume ni wachache sana

Kasomi

JF-Expert Member
Sep 3, 2014
11,030
20,371
Leo napenda kuwatonya wanawake kuwa wawe Makini na wanaume kwa sababu zifuatazo.

Gazeti la Independent lilichapisha Ripoti iliyo tolewa na UN mwaka 2019.
Ripoti hiyo ilijumuisha idadi ya watu duniani na kufafanua kama ifuatavyo.
1- Ripoti ilionyesha kuna jumla ya watu Billion 7.8 duniani
Wanawake wakiwa ni billion 5.6
•wanaume wakiwa ni billion 2.2

Gazeti hilo lilitoa Ripoti hiyo, hivyo Mimi hapa nashauri wanawake kuwa makini na hisia za wanaume sababu wanaume wapo wachache zaidi ya wanawake ikiwa mwanaume mmoja akiwa na mke mmoja basi wanawake billion 3.4 watakua single.
Pia si hayo tu na hao wanaume billion 2.2 si wote watakua na wake Kwa sababu zifuatazo.
1- >wanaume billion 1 washaoa tayari
2- >wanaume million 130 wako jela
3- >wanaume million 70 wanaugonjwa wa akili.

Hivyo Ripoti inaonyesha wanaume billion 1 ndio wamebaki hapo ambao wanaweza kupata wake, lakini bado si wote walio baki wanaweza kuoa tena kwa sababu zifuatazo
1- >50% ya wanaume hawana kazi
2- >3% ya wanaume ni mashoga
3- >5% ya wanaume ni makuhani wa kanisa Catholic
4- >10% ya wanaume ni ndugu wa karibu
5- >32% ya wanaume ni wazee(wenye zaidi ya miaka 66).

Hivyo wanawake kwa wote walio olewa na ambao hawajaolewa mwapaswa kumujali mwanaume maana tupo wachache sana.
 
Wanawake kuelewa hii kitu ni ngumu, akiangalia anamiliki wanaume zaidi ya mmoja bado kila kukicha anatongozwa, anaona haya ni maigizo ya wazi, akija kuujua uhalisia ndo tayari kaliwa weee mpaka amechoka na umri ushamtupa mkono, hence,,,,,,,,,,.
 
Wanawake kuelewa hii kitu ni ngumu, akiangalia anamiliki wanaume zaidi ya mmoja bado kila kukicha anatongozwa, anaona haya ni maigizo ya wazi, akija kuujua uhalisia ndo tayari kaliwa weee mpaka amechoka na umri ushamtupa mkono, hence,,,,,,,,,,.
Tatizo hawa viumbe wagumu kuelewa.
Kwanza inatakiwa tuwaite kwanza wanawake wapitie hapa.
Pisi kali tigonyeupe to yeye
 
Back
Top Bottom