Wanawake mumesababisha Gym zifurike

Duh!sijui itakuwaje wakikosekana tunaambulia ubaunsa sio mbaya.Ila ni changamoto wazee watoa vitz au rav4 za ghafla waqt kijana ukiombwa Samsung galaxy unakuna kichwa.
Hahaha unajaza mwili gym halafu mfukoni huna kitu. Utaishia kukaba watu tu. Unaombwa hela na mtoto wa kike unatoa kama umebanwa na haja. Hata hela ya vocha shida
 
Mahitaji yenu yamesababisha mafuriko kwenye gym......

Vijana wapo busy kujenga miili ya mazoezi....

Vifaa vya mazoezi kama raba, vyuma, kamba sasa vinauzika....

Vijana wanakimbia na kupiga pushups, sut ups kila asubuhi na ijioni....

Ila sasa wale wafupi we are disadvantaged, maana tunazidi kudidimia....

Miondoko imebadilika lakini, tunatembea kama tuna majipu kwapani....

Wanawake mkiwezeshwa mnaweza....
Mkuu umeongea ukweli, nimecheka sana kwa post yako.
 
Ngoja nikamshauri mie jirani yangu huyu mama makinda,kuwa watanzania wa leo si wa jana
inategemea na gym zipo za kuanzia elfu 50,laki na kuendelea, pia zipo zile hakuna mademu za kulipa kila siku buku
 
Mimi naona ni jambo chanya hili.Ukipiga zoezi unakuwa na afya mzuri na madem utapata mpaka utawakimbia.
Natoa wito kwa watu wenye pesa zao kuwekeza katika ujenzi wa GYMs.
 
mi sijawahi kwenda gym hata sku moja na napga watoto wazuri hatari, si haba kwa hivi alivoniumba Mungu nadhani hakuna alichosahau cha kufanya nianze kukitafuta hapa duniani, hakuna!
 
Nawashauri wanawake mkiwa gym mfanyage na mazoezi ya kuimarisha misuli ya papuchi, inakuwa inabana fulani hivi, inapendeza!
 
Hahaha unajaza mwili gym halafu mfukoni huna kitu. Utaishia kukaba watu tu. Unaombwa hela na mtoto wa kike unatoa kama umebanwa na haja. Hata hela ya vocha shida
Ndio changamoto hizo ndugu yangu mwili jumbaaa ikianzishwa topic ya mkwanja unaanza kukunja uso na mara nawe baby kwa kupenda anasa !anasa wapi waqt mfukoni kwenye wallet umejaza business card za washkaji.
 
Kweli kabisa. Inabidi tuchangamke kusaka pesa tu. Hayo mambo mengine ya ziada tu
 
Hivi huwezi kusaka hela na mwili ukawa in shape? Acheni kutetea vitambi hivyo fanyeni mazoezi hayazuii kutafuta hela. Muda mnaopoteza kunywa bia na kula makitimoto mngeweza kuingia gym.
 
Back
Top Bottom