Wanawake mlioko kwenye ndoa: Mjifunze kuwaomba unyumba waume zenu

Ni moja kati jambo linalotupa sana huzuni wanaume. Inapelekea kuhisi uenda hamna hisia na mumeo ila mnafanya kumfurahisha mume tu
 
Mwanaume anapenda mke wake awe muwazi kihisia kwake. Anapokuwa kimya ktk tendo la ndoa, mwanaume anamuona mkewe kama wale wa road. maana wale ukiwa na hamu wewe ndo utawafuata wanapopatikana
 
Back
Top Bottom