Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,604
- 20,084
Sasa hiyo buku Ndio unafanyaje?1000
Sasa hiyo buku Ndio unafanyaje?1000
Mtapewa mimba hii tabia ya kuiga iga wanawakeIkitokea mwanamke amemutongoza mwanaume itabidi huyo mwanamke baada ya kugegedwa atoe pesa ee?
Well and fine, Ndo maana mumeamua kutongoza ili msibebe mimba!Mtapewa mimba hii tabia ya kuiga iga wanawake
nikihonga sana ni buku la mabutuSasa hiyo buku Ndio unafanyaje?
Bando au?? Ha ha ha haaa. Hunihongi hiyo ela. Unless nikutie vidole Ndio unipe hiyo ela.nikihonga sana ni buku la mabutu
Watanadilika tu maana Universe nayo inabadilika...wanawake tulijisahau sana tukafikira sisi ni viumbe vinyonge, la hasha! Amka mwanamke pambana kula jasho lako! Hukuzaliwa kuwa omba omba!
AMUN RAafathali ww unajitambua [HASHTAG]#wanawakeachenikuombaombapigenikazi[/HASHTAG]
Unamaana mwanamke atakula kwa "Papuchi" yake!?Akupeeee![]()
![]()
mwanaume utakula kwa jasho lakooo!!!!
Imeandikwaaa
Hayo umesema wew na si mmUnamaana mwanamke atakula kwa "Papuchi" yake!?
Bando au?? Ha ha ha haaa. Hunihongi hiyo ela. Unless nikutie vidole Ndio unipe hiyo ela.