Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 134,344
- 160,180
wakiona binadamu analalamika ujue amekwazika...
Yes swirly nahiyo ni response piawakiona binadamu analalamika ujue amekwazika...
Kulalamika kupo kwenye damu yaoWhy?
ndio maanaKulalamika kupo kwenye damu yao
True Baby M shukranihaha its very true lakini, men listens logics not feelings all the time.
Aseeh.... kwa hiyo wanawake wengine wajifunze eti eeNdio maana wanawake wa tanga wanapendwa sio sababu ya majamboz ni sababu wana ulimi wa kuongea na mwanaume.
elewa hawa ni viumbe tofauti..... mwanaume aliumbwa kwa mavumbi.... mwanamke aliumbwa kwa ubavu wenye nyama wa mwanaume na mavumbi...... ukianza kumuelewa mwanamke ujue uko kwenye early 68yrs......kulalamika ndo maisha yao......ukichelewa shida,,, ukiwahi taabu.....alimradi ahakikishe anakuweka in life attention.
Jamaa yangu naona umeshajichukulia mmoja hapa Jf hongera, ila pole kwa kupata mlalamikaji
True mkuuTumeambiwa Tuishi Nao Kwa Akili Sana
Ni jukumu lako sasa kuwafanya wasiboeHadi wanaboa sas