Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 14,999
nashukuru kwa kunikingia kifuaMbona wapo wa hivyo..
nashukuru kwa kunikingia kifuaMbona wapo wa hivyo..
nashukuru kwa kunikingia kifua
Hajui kama magentlemen tuko kibao tuHahaa.. Mleta mada anafikiri wote wagumu kama yeye mwe
Mwanamke hapendi kuambiwa ukweli ukimwambia ukweli anakasirika, kwa Hiyo mwanaume muongo ndio sukari ya warembo
Hapo chacha.....
WHAT THINGS MAN NEED TO KNOW
ladies wanapenda yule mwanaume ambae romance yake inapelekana nakutoa,
Yule mwanaume anakupeleka kwa show alafu ile kitu yoyote unakula kwenye hiyo show he takecareoff
Ladies wanapenda yule mwanaume kukiwa na barid anakutolea koti yake uvae na ni yeye anakuvalisha
Yule mwanaume mkicross kwa barabara anakushika mkono na anakubebea handbag ......
Now the problems is......... ........
Akuna MWANAUME Mpumbavu kias hicho akunaaaaaaaaa
Ha ha haaaa! Love is enough!!Kupendwa ndo huku
Ndo lugha ya dunia..Kila mtu anaielewaPesa pesa pesa pesaaaaaaa!
Mmmmh usieme hivyo ushasikia habar ya bint kiziwi usiombe bint yako awe hivyo hakomi kwenda kwa jamaaMwanamke anapenda mwanamme ampe HELA hayo mengine mbwembwe tu
Umeongea yote ila umesahau... Pesa ndio main point izo extraWHAT THINGS MAN NEED TO KNOW