Wanaume weusi,kiugonjwa kinachonitesa

Heshima kwenu wakuu
Kama nilivyotangulia kusema najikuta mtumwa wa wanaume weusi nikimaanisha mwanaume mswahili lakini mwenye ile rangi ya weusi

Alitokea mwaume mmoja akanipenda sana kipind cha nyuma lakini alikuwa mweupe me sikumpenda hata kidogo

na huwa ikitokea hata kama nimekaa sehemu akapita mwanaume mweusi mrefu kidogo lazima nitamwangalia tu, ofisini pia vivyo vivyo nitamwangalia kwa umakini na nitamuhudumia kwa upendo kabisa tofauti na mwanaume mweupe
Hawa watu huwa wananivutia sana for sule
heshima kwenu wote wanaume weusi
Safi sana kwa post matata iliyo pikwa ikaiva!!Haya wateja weusi wa hizi mambo muje haraka.
 
Heshima kwenu wakuu
Kama nilivyotangulia kusema najikuta mtumwa wa wanaume weusi nikimaanisha mwanaume mswahili lakini mwenye ile rangi ya weusi

Alitokea mwaume mmoja akanipenda sana kipind cha nyuma lakini alikuwa mweupe me sikumpenda hata kidogo

na huwa ikitokea hata kama nimekaa sehemu akapita mwanaume mweusi mrefu kidogo lazima nitamwangalia tu, ofisini pia vivyo vivyo nitamwangalia kwa umakini na nitamuhudumia kwa upendo kabisa tofauti na mwanaume mweupe
Hawa watu huwa wananivutia sana for sule
heshima kwenu wote wanaume weusi
Asante
 
same to me na KE visizi(wanaoutunza)....daahh..!!!...nikiwaonaga viumbe hao....nakodoa sana....
na wewe wa rangi ipi..??
 
Heshima kwenu wakuu
Kama nilivyotangulia kusema najikuta mtumwa wa wanaume weusi nikimaanisha mwanaume mswahili lakini mwenye ile rangi ya weusi

Alitokea mwaume mmoja akanipenda sana kipind cha nyuma lakini alikuwa mweupe me sikumpenda hata kidogo

na huwa ikitokea hata kama nimekaa sehemu akapita mwanaume mweusi mrefu kidogo lazima nitamwangalia tu, ofisini pia vivyo vivyo nitamwangalia kwa umakini na nitamuhudumia kwa upendo kabisa tofauti na mwanaume mweupe
Hawa watu huwa wananivutia sana for sule
heshima kwenu wote wanaume weusi
We ni mweusi au mweupe? Tujue kwanza
 
Back
Top Bottom