Wanaume wenzangu naona Joyce Kiria Kileo katupa mchambo wa Karne

Yaani huyu imani zake zote ni pesa, kalelewa kwenye mazingira hayo, hawezi badilika, yeye mwanaume asipompa hela sio mwanaume, huyu sababu anaabudu pesa na anapenda kupewa pesa na wanaume anaweza sababisha yafuatayo:-
  1. Kusambaza magonjwa ya ukimwi na zinaa
  2. Kuvunja ndoa na mahusiona ya wapenzi wengine
  3. Kuwapa mielekeo na maadili mabaya watoto, marafiki na ndugu zake
  4. Mwili kuchoka na kuzeeka mapema hasa sehemu nyeti
  5. Dharau kwa wanaume hasa wasiompa pesa, hii yaweza sababisha uhusiano mbaya hata kwa wanaume wasio wapenzi wake
  6. Kuanzisha danguro la kuwauza wanawake wenzake maana yeye pesa ni dini
  7. Kumuua hata mume au mpenzi wake kisa pesa
  8. Kudharauliwa na jamii maana yaonekana imani ya pesa imemtawala, yaonekana aweza fanya chochote sababu ya pesa! Hii inatutisha...
Hiyo namba 4 ya kuchoka mwili na sura tayari imeshamtokea JOYCE KIRIA

Huoni uso ulivyo, macho yamechoka tayari...inaonekana ameshauza sana na kukesha bila kupata usingizi.
 
Back
Top Bottom