Wanaume wenzangu mnawezaje kujizuia na vishawishi nje ya mahusiano yenu?

kevin strootman

JF-Expert Member
Nov 26, 2017
1,109
1,841
Yaani sielewi Yani, hivi mnawezaje kuvumilia vishawishi vya nnje?? Yani nipo na mwanamke hapa nmelala nae lakini akili akili ipo Kwa kidada kimoja kizur cheupe chenye makalio mazuri nachokionaga kazini kwangu.

Mimi naamini kwenye hii Dunia hakuna mwanaume anaeweza kuwa na mwanamke mmoja tuu, hata awe wa ndoa, ngumu sana,kwanza haiwezekani.
 
Yani sielewi Yani, hivi mnawezaje kuvumilia vishawishi vya nnje?? Yani nipo na mwanamke hapa nmelala nae lakini akili akili ipo Kwa kidada kimoja kizur cheupe chenye makalio mazuri nachokionaga kazini kwangu.

Mimi naamini kwenye hii Dunia hakuna mwanaume anaeweza kuwa na mwanamke mmoja tuu, hata awe wa ndoa, ngumu sana,kwanza haiwezekani.
Acha uzembe kijana.Mwanaume kamili huwa hajielezi kihivyo.
 
Back
Top Bottom