Malumbo wa ngullo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 3,262
- 11,054
- Thread starter
- #81
Changia bhanaTeh!
Changia bhanaTeh!
We shusha mbinu utaokoa mahusiano mengi na hakuna Faida ya kuwa na toxic relationships kwanza tutasave vifo vingi vinavyotokana na wivu wa kimapenzi.Mwite aje.
Ukiigusa tu mwambie...mbona umeliwa hivi karibuni?
Ukiwa siriaz balaa then mkazie usoni utaona anavyonyong'onyea.
Uso siku zote huongea ukweli.
Mbinu ya pili hii ni hatari acha nibaki nayo😂.
Tatu ungekuwa wa kike ningekupa mbinu ya kugundua kama umesalitiwa kweli😂
Wewe yan maelezo yote hayo huoni kama uyo bitch ana tatizo? Anapigiwa simu usiku hapokei, ameambiwa aende na rafiki yake hajibu msg hapo huoni kuna namna haiko sawa? Au ndio uzungu mwingi ukidhani kila mtu yuko ivyooI don't know buddy, i question your instincts what makes you feel she is cheating on you?
I myself have the most worst habit , i sometimes don't text especially when i'm traveling but as soon as I reach my destination i let people know,
I think good thing is what she did, to inform you of her arrival.
Don't take it too personal, it might be your weakness later on your insecurity
I advice you to think positive on this one
Just once else utakua wamtafutia sababu.
Ungemfuata huko huko lodge unapiga naye vyombo badae safari ya home leo ungekuwa na uhakika alikuwa na nani. Ulikwama wapi Mkuu?Bro since nimemla December, Leo hii kaja afu kalala mtaani kwangu mi nimelala apeche..🤔 naona misingi imegeukwa.
Ila wewe umewaza nje ya box, sema alichokosea ni kutojibu sms kwa wakati.Wala hakuwa na mwanamme,alikuwa na mwanamke mwenzake akaona akija nae kwako unawezabadili gia angani.
Habarini!
Kuna bidada, tulikutana December 20 mkoani ,tukawa Safari moja iliyotulazimi kutumia 48hrs together. Tukaangukia kwenye mahusiano baada ya chemistry yetu. Tulikuwa Safari moja maana tunaishi mkoa mmoja wilaya tofauti.
Since December kutokana na ratiba zangu kubana tulikutana mara moja alikuja kwangu.. japo huwa anapenda kuja.mahusiano yalikuwa seriously tukisaidiana vitu vidogo vidogo. But toka December Ali nifamahisha kuwa atakuwa na Safari ya dodoma kwenda kuchukua vyeti vyake vya taluma hivyo tukapanga atakavyokuwa tayari kwenda atapitia apa kwangu ikawa okay.
Tarehe 28/3/2023 alisema ruhus imetoka hivyo anaomba assistance ya 150,000k Kama nauli , nikajibu okay nitakupa tarehe 30.akijibu sawa. But tarehe 29 mchana akanitext..
Yeye: "Uko home.. nakuja huko ili asubui nipate gari la moja kwa moja nikitokea huku nitachelewa"
Mimi:" sawa, nipo home mwenyewe.. karibu sana baby"
Yeye: "thanks but Niko na rafiki yangu , nae anaenda dodoma hivyo tutalala lodge"
Mimi: "kwani stand mbaka kwangu si karibu ni umbali wa dakika 10 nauli 1,000 au hutaki kulala kwangu, mje mlale mbona unapajua?"
But toka hapo text zikawa hazipokelewi ila kwangu zinaonekana zimeenda.. mida ya jioni kabisa toka asubui ya saa 5, akanitext saa 12
Yeye:"tumefika..."
Mimi :" sawa saa ngapi & mbona ulikuwa hupatikani?"
Yeye:" saa 10, mtandao ulikuwa m'bovu sorry"
Mimi :" sawa nipange ? Unakuja kuniona?"
Baada ya apo sikupokea text toka kwake even ya goodnight..
Kukakucha, sikuona haja ya kushoboka, nikachuna nimsikilizie maana nilitegemea angeniambia amekata tiketi gari gani? Kaondoka saa ngapi asubui lakini ikawa kimya mbaka jioni nikapokea text kuwa amefika.. sikutaka kuuliza vipi huyo mwenzako lakini mawasiliano yakawa hamna . Amekaa kule siku tatu anachokifanya ni kunitext tu no calls Kama ni call mchana au jioni but usiku hapatikani
Sasa ameshachukua cheti, anarudi yupo safarini muda wote call kuwa ndo aje home kuniona, & kuwa amenimiss .
Binafsi nimeona niuchune tu, maana Kama alikuwepo ambako Niko , Tena kwa umbali wa buku tu pikipiki hakuona haja akalala lodge na huyo aliosema mwezie Sasa Leo yuko alone ndo aje . Toka asubui sijapokea simu yake maana nimeona huu ni usaliti wa wazi kabisa na kunikosea heshima maana kivyovyote vile lazima alikuwa na mwamba, Kama ingekuwa yuko na mwezake wa kike ile jioni alivyowasili asingeweza kulala kule bila kuonana na Mimi .
Nauliza je Kuna umuhimu wa kuonana nae , na hii kitalamu imekaaje
Nasubiria tuuu siku andunje akubwage uje hapa kulia. Nimekaa paleeee.🤣🤣🤣🤣Mimi nina mwanaume mmoja ananitosha sana mana hekaheka siziwezi. Poleni nyie mnaopangwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi uzi wa Tamisemi Ndani yake ni visa vya kulana??.Sema nini mkuu..
Pitia ule uzi wa kwanini tamisemi wanachelewa kuita watu makazini, na ule uzi watu wanaoenda dodoma kwenye interview, huwenda alikutana na wadau huko🤣🤣
Kafungue mule..Hivi uzi wa Tamisemi Ndani yake ni visa vya kulana??.
Sijawah ufungua hata siku Moja.
acha upotoshaji hapo mwishoni Mzab tafadhali sana,Mueleze huyo. Ata huko ulaya long distance shida sii tunaonaga kwenye ile programme ya cheaters.
Mzeya umempa ukweli hamna mwanamke anaweza kwenda miezi miwili bila kugegedwa hayupo na kama yupo basi ni mbaya wa sura na hana chura
Kazi unayo😂😂😂😂😂
Ndiyo niko nawaza kama babake atakubali hasa baada ya kumuelezea tabia za Mzab mwenyewe...
Mh, uko na fyucha na huyo bidada?! Mtu wa kukutana nae safarini anakuumiza kichwa nini. Umeshajua anamambo mengi. Just play your part. Kula mpaka utakapoona sasa umemchoka anchana nae. Usiwe emotional nae kama utaweza. Kama uko emotionally attached kwake basi achana nae.Habarini!
Kuna bidada, tulikutana December 20 mkoani ,tukawa Safari moja iliyotulazimi kutumia 48hrs together. Tukaangukia kwenye mahusiano baada ya chemistry yetu. Tulikuwa Safari moja maana tunaishi mkoa mmoja wilaya tofauti.
Since December kutokana na ratiba zangu kubana tulikutana mara moja alikuja kwangu.. japo huwa anapenda kuja.mahusiano yalikuwa seriously tukisaidiana vitu vidogo vidogo. But toka December Ali nifamahisha kuwa atakuwa na Safari ya dodoma kwenda kuchukua vyeti vyake vya taluma hivyo tukapanga atakavyokuwa tayari kwenda atapitia apa kwangu ikawa okay.
Tarehe 28/3/2023 alisema ruhus imetoka hivyo anaomba assistance ya 150,000k Kama nauli , nikajibu okay nitakupa tarehe 30.akijibu sawa. But tarehe 29 mchana akanitext..
Yeye: "Uko home.. nakuja huko ili asubui nipate gari la moja kwa moja nikitokea huku nitachelewa"
Mimi:" sawa, nipo home mwenyewe.. karibu sana baby"
Yeye: "thanks but Niko na rafiki yangu , nae anaenda dodoma hivyo tutalala lodge"
Mimi: "kwani stand mbaka kwangu si karibu ni umbali wa dakika 10 nauli 1,000 au hutaki kulala kwangu, mje mlale mbona unapajua?"
But toka hapo text zikawa hazipokelewi ila kwangu zinaonekana zimeenda.. mida ya jioni kabisa toka asubui ya saa 5, akanitext saa 12
Yeye:"tumefika..."
Mimi :" sawa saa ngapi & mbona ulikuwa hupatikani?"
Yeye:" saa 10, mtandao ulikuwa m'bovu sorry"
Mimi :" sawa nipange ? Unakuja kuniona?"
Baada ya apo sikupokea text toka kwake even ya goodnight..
Kukakucha, sikuona haja ya kushoboka, nikachuna nimsikilizie maana nilitegemea angeniambia amekata tiketi gari gani? Kaondoka saa ngapi asubui lakini ikawa kimya mbaka jioni nikapokea text kuwa amefika.. sikutaka kuuliza vipi huyo mwenzako lakini mawasiliano yakawa hamna . Amekaa kule siku tatu anachokifanya ni kunitext tu no calls Kama ni call mchana au jioni but usiku hapatikani
Sasa ameshachukua cheti, anarudi yupo safarini muda wote call kuwa ndo aje home kuniona, & kuwa amenimiss .
Binafsi nimeona niuchune tu, maana Kama alikuwepo ambako Niko , Tena kwa umbali wa buku tu pikipiki hakuona haja akalala lodge na huyo aliosema mwezie Sasa Leo yuko alone ndo aje . Toka asubui sijapokea simu yake maana nimeona huu ni usaliti wa wazi kabisa na kunikosea heshima maana kivyovyote vile lazima alikuwa na mwamba, Kama ingekuwa yuko na mwezake wa kike ile jioni alivyowasili asingeweza kulala kule bila kuonana na Mimi .
Nauliza je Kuna umuhimu wa kuonana nae , na hii kitalamu imekaaje
Nasubiria tuuu siku andunje akubwage uje hapa kulia. Nimekaa paleeee.
Andunje akikuoa niite mbwaaa