kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 6,707
- 12,092
ache nkapa
Sio muda na wenye vibamia wataanza kuwindwa.
rastafari mwenye kipara? rasta hazita ficha kipara lakini? msinione nauliza uliza maana na mimi pia ni muhusika. mi naona dawa ni kunjoa udang'a full ili usijulikane kuwa una ualaza kabisa. sasa majirani wanao kujua ndo watauza dili.Itabidi wawe marastafari hakuna namna